Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

CCM hamkubaliki nowadays waTanzania wamefunguka. Tembea ufanye utafiti. Usijifungie hapo lumumba na vigroup vya watsup vya BAWACHA mnapeana moyoo. CCM inatia kinyaa.
Unajydanganya bwashee !

Tafiti yako kanjanja , yangu inaniongoza kuwa CCM ni roho ya watanzania !!
 
Ni festival kwa ajili ya nini ? Kiingilio ni kiasi gani ?
 
Nakubali kuwa rais Samia anafanya kazi.
Lakini kwa taifa letu lenye changamoto mpaka za matundu ya vyoo mashuleni, dawa mahospitalini n.k, unatumiaje pesa kihuni namna hii kwa tukio la siku moja?.
Je, haya ndiyo maslahi ya Taifa tunayoyaimba kila siku?.
Muache watu waseme ukweli, sisi sote tunajenga taifa moja, na hii ni serikali yetu sote.
Lini rais Samia kaacha kujenga shule na miundombinu yake?

Lini rais Samia kaacha kujenga mfumo bora wa afya nchini ?!!

Taifa ni kubwa.... tuna mengi ya kufanyika na kugusika !!

#446

#30,000

#JMT kwanza !
 
Pamoja na kumchana hivyo, siku ya tukio kutajaa nyomi hapo na watu watainjoi sana! I can't wait for the day to come!!!
 
Ukiwa madarakani na unatoa speech, nadhani kuna mashindano nani atamtaja mama SAMIA mara nyingi!
Nauseating kabisa kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬
 
Ukivyoandika tu inaonekana wazi umechanganyikiwa nyumbu wewe. Utafiti naifahya sana, tena wangu Mimi haujikiti juu juu tu kwa kusikiliza tu makelele ya kwenye daladala au sokoni........unajikita ndani kabisa katika fikra halisi za watu. Ninakwambia, nyumbu Wala hamna watu, nakuapia kabisa!!! Unaweza, kwa kiasi kidogo sana, kuona trela tu la ukamataji uliofanyika.
rudi shule kwanza ukajifunze kuandika ndio uje ureply mpumbavu wewe
 
Ukisoma comments za huu uzi na nyuzi nyingi utagundua kuwa ccm ina watu wajinga kuwa kutokea yan kwa mentality yao mtu yeyote atakae kuwa against mama samia ni mtu wa chadema na watamtukana na watamtaja lissu na heche sasa me huwa inanishangaza sana sababu kuna watu hawana vyama ila hawawezi ona upuuzi wakavumilia... Sisemi kwa ubaya ila asilimia 70 ya watu wengi ambao wapo ccm ambao wapo kwenye circle wangu wengi wako wakati tunasoma walikuwaga wanakuwa wamwisho mwisho darasani kwahiyo i can relate, nkionaga utumbo wanaosema na kuandika hapa huwa naconclude kwanza ndio majamaa yale yale na hakuna kitu yenye logic inawezatoka kwenye vichwa vyao....
 
Jaribu pia kuwa mnaangalia vipaumbele vya watu mnao-waongoza .

Ni kweli burudani ni muhimu Ila sifikirii Kama tumeshafika hatua ya sisi kutumia hela kubwa kwa tukio la masaa na katika burudani tena ya muziki.

Fikirieni kuacha legacy zaidi itakayodumu baada ya nyie kutokuwepo

Do something unremarkable , and this is how you can affect peoples positively.

MwanaFA
 
Ukisoma comments za huu uzi na nyuzi nyingi utagundua kuwa ccm ina watu wajinga kuwa kutokea yan kwa mentality yao mtu yeyote atakae kuwa against mama samia ni mtu wa chadema na watamtukana na watamtaja lissu na heche sasa me huwa inanishangaza sana sababu kuna watu hawana vyama ila hawawezi ona upuuzi wakavumilia... Sisemi kwa ubaya ila asilimia 70 ya watu wengi ambao wapo ccm ambao wapo kwenye circle wangu wengi wako wakati tunasoma walikuwaga wanakuwa wamwisho mwisho darasani kwahiyo i can relate, nkionaga utumbo wanaosema na kuandika hapa huwa naconclude kwanza ndio majamaa yale yale na hakuna kitu yenye logic inawezatoka kwenye vichwa vyao....
Sisie ni chama cha watu wajinga
 
Back
Top Bottom