Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali
Screenshot_20250424-031511.png
Screenshot_20250424-031511.png
Screenshot_20250424-031511.png

Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
Screenshot_20250424-031538.png
Screenshot_20250424-031522.png
Screenshot_20250424-031538.png
Screenshot_20250424-031538.png
Screenshot_20250424-031635.png
Screenshot_20250424-031557.png
Screenshot_20250424-031606.png
 
Hapo unakuta gharama stated ni billion 3 ambapo 2 zinaingia mfuko kwa mheshimiwa pamoja na Godfather wake mzee Kabudi😂 hio billion 1 ndio itamaliza vipengele vyote. Famchezo nini ni mwendo wa kulamba asali tu.
 
Mhm kumbe
 
Wakati mwingine mada zenu muweke vichwa vinavyoendana na uhalisia; ilipaswa iwe, "Vinyumbu vichache vilivyojaa wivu kama wachawi vyamshukia MwanaFA bila mafanikio"
CCM hamkubaliki nowadays waTanzania wamefunguka. Tembea ufanye utafiti. Usijifungie hapo lumumba na vigroup vya watsup vya BAWACHA mnapeana moyoo. CCM inatia kinyaa.
 
Ukivyoandika tu inaonekana wazi umechanganyikiwa nyumbu wewe. Utafiti naifahya sana, tena wangu Mimi haujikiti juu juu tu kwa kusikiliza tu makelele ya kwenye daladala au sokoni........unajikita ndani kabisa katika fikra halisi za watu. Ninakwambia, nyumbu Wala hamna watu, nakuapia kabisa!!! Unaweza, kwa kiasi kidogo sana, kuona trela tu la ukamataji uliofanyika.
 
Jifunze kuandika kwanza wewe chawa.
Go1AooyWkAAXLJB.jpeg
 
Ukivyoandika tu inaonekana wazi umechanganyikiwa nyumbu wewe. Utafiti naifahya sana, tena wangu Mimi haujikiti juu juu tu kwa kusikiliza tu makelele ya kwenye daladala au sokoni........unajikita ndani kabisa katika fikra halisi za watu. Ninakwambia, nyumbu Wala hamna watu, nakuapia kabisa!!! Unaweza, kwa kiasi kidogo sana, kuona trela tu la ukamataji uliofanyika.
🤔 🙄
 
Mwana FA kapata anachostahili Nadhani hatathubutu kufungua comment.
Waziri anagonga kazi....wengi wetu watanzania tunamuelewa mh.Rais Samia na dhamira yake ya dhati ya kuleta ustawi na utulivu wa Tanzania yetu !

Nyumbu wachache wasiojua thamani ya asili ya Tanzania na malengo yake makuu wala hawasumbui wazalendo na watulivu wa akili !

#446
#30,000

#TZ kwanza kivyovyote!!
 
Nakubali kuwa rais Samia anafanya kazi.
Lakini kwa taifa letu lenye changamoto mpaka za matundu ya vyoo mashuleni, dawa mahospitalini n.k, unatumiaje pesa kihuni namna hii kwa tukio la siku moja?.
Je, haya ndiyo maslahi ya Taifa tunayoyaimba kila siku?.
Muache watu waseme ukweli, sisi sote tunajenga taifa moja, na hii ni serikali yetu sote.
 
Back
Top Bottom