luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #1,241
Hahaha tungekuwa legelege tungekuwa wachapakazi hodari!Kupika nini labda
Mnashindwa kuwaoa Kwa sababu hamuwawezi .mko legelege na mko weak hata kimuonekano Tu .mko warembo refer kinyaia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchaga ata aliyeishia memkwa unakuta Ana ma milion
Legelege ni nyie wahaya ambao kaz yenu ni kushinda vijiwen na kubishana tu
Mngekuwa sio legelege mkoa wenu usingekuwa na umaskini mkubwa vile 70% ya kagera Ni mapori tu
Sent using Jamii Forums mobile app