luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #1,221
Hahahaha mkuu niliwahi kukuambia Hawa watu Ni mbwembwe tu hawana kituluambo makiadi uko wapi njoo ucheke huku hahahahaha..
Mwezi haujapita waliyemuita tajiri miungoni mwao wahaya leo hii anaomba msaada. Anayempigia kampeni kuomba pesa ni muhaya mwenzake, ex minister, ex MP Khamis Kagasheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule uhayan mtu akinunua Corolla ta 2.5m anasema tz nzma Hakuna Kama yy ushamba ndio unaowasumbua
Wakati kule uchagani mchoma nyama tu unakuta anamiliki Toyota surf ya milion 35 na anasema Ni "kimkokoteni" wahaya Ni mdomo tu Ila kiuchumi wapo icu
Sent using Jamii Forums mobile app