Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Tofauti ni kwamba wahaya sio wachawi kama wachagga. Ebu ona hivi vituko hapa kisingizio cha kutunza mazingira View attachment 1063558View attachment 1063559View attachment 1063560View attachment 1063561
Kuotesha mti Ni ushirikina ? Nyie wahaya ndio walozi kwanzia maofisini Hadi kwenu kagera ndio maana nyie Ni mkoa wa 3 kwa umaskini
Uliona wapi mkoa wenye ushirikina ukaongoza kimaendeleo kama Kilimandjaro ? Ushirikina n'a maendeleo wapi n'a wP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya mama hawa wachaga watakuja kufukua hata makaburi ya ndugu zao kisa hela. Yaani yakishasikia kuhusu hela yanakuwa kama mazumbukuku. We utapandaje mpapai au mparachichi kwenyw kaburi eti kisa kuna mbolea ya mwili wa marehem mama yako??. Ila kwa mtu aliyezoea ushirikina wa kulala hadi makaburini kwake n jambo dogo sana. Mwafwaaa. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupanda miti ni ushirikina ? Nyie wahaya mmelemaa akili hakuya Mungu
Kumbe ndio maana mnazid kubaki maskin kwasasababu ya akili mgando

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah daaah, unakufaham Kirua Vunjo? Hali ni mbaya sana mkuu acha kupotosha kabisa. Watu mpaka leo hii wanaishi kwenye nyumba za mabanzi na mvua zikinyesha barabara hazipitiki kwa gari be real man.

Hata jina lako tu linaonesha ni mlevi. Ulienda lini huko Kirua Vunjo?? Wajua Mbatia katoka wapi?? Lami imepita pua na mdomo kwa Mbatia kule juu milimani mkuu. Upo wapi weye?? Lami imefika kule nduoni kwa masila unasema nini wewe?? Tema mate. Nilipitia huko juzi juzi nikashangaa.
 
Kuotesha mti Ni ushirikina ? Nyie wahaya ndio walozi kwanzia maofisini Hadi kwenu kagera ndio maana nyie Ni mkoa wa 3 kwa umaskini
Uliona wapi mkoa wenye ushirikina ukaongoza kimaendeleo kama Kilimandjaro ? Ushirikina n'a maendeleo wapi n'a wP

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha usipindishe ukweli mkuu. Kwa nini juu ya makaburi???? Na ni miti ya matunda alaf baadae mnakuja kuyala hayo matunda, je mmeishiwa ardhi kiasi hicho???? Je hyo ardhi ya juu ya makaburi ni asilimia ngap ya ardhi nzima???
 
Kwetu ardhi inatumika effective,sio nyie wavivu mlioacha mkoa wenu kuwa mapori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata jina lako tu linaonesha ni mlevi. Ulienda lini huko Kirua Vunjo?? Wajua Mbatia katoka wapi?? Lami imepita pua na mdomo kwa Mbatia kule juu milimani mkuu. Upo wapi weye?? Lami imefika kule nduoni kwa masila unasema nini wewe?? Tema mate. Nilipitia huko juzi juzi nikashangaa.
Huyo anajifurahisha mkuu,kirua ukienda ndio Kama ulaya lami imekatiza migomban Hadi kule marangu kitowo mamba had mwika huyu Ana tu beep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anajifurahisha mkuu,kirua ukienda ndio Kama ulaya lami imekatiza migomban Hadi kule marangu kitowo mamba had mwika huyu Ana tu beep

Sent using Jamii Forums mobile app
Kirua ipi mkuu? Kirua sokoni? Kirua bwawani? mbona hakuna lami kule. Kule kupo hoi hata hospital wengi wao wanashuka Himo kutibiwa, lami hakuna bana acha uongo kabisa hapa tusidanganyane. Kule ndio kuna nyumba za mabanzi za kutosha na raia wanakula kima kwa kwenda mbele, kazi kubwa kule iliyopo ni kupasua mawe. Muwe mnasema ukweli huo uongo mnadanganya ili iwe nini? eti ulaya

Bora umewaumbua mkuu
 
Mkuu, agiza chochote unachokunywa! Hawa wachaga choka mbaya tu na ndo maana hata picha wanaogopa kuziweka kazi porojo tu. Wakiweka picha wanaweka za mitandaoni. Shame on them. Uvhagani pamepauka, pamechakaa kazi kulazimisha sifa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli huwez kuona kama kupanda miyi juu ya makabiri ni ushirikina kwa kuwa na wewe ni mshirikina, hvyo huoni ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushamba wa kihaya unakusumbua nenda China watu wanapanda mchicha kwenye beseni we unashangaa hiyo? Tunatumia ardhi effective sisi ardhi yetu hatujaiacha mapori ka nyie
Kwahiyo kwa uelewa wako kupanda matunda ni ushirikina ? Ila wahaya mna akili mfu kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, agiza chochote unachokunywa! Hawa wachaga choka mbaya tu na ndo maana hata picha wanaogopa kuziweka kazi porojo tu. Wakiweka picha wanaweka za mitandaoni. Shame on them. Uvhagani pamepauka, pamechakaa kazi kulazimisha sifa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha una akili kuliko nbs?
Nbs ilifanya tafiti mikoa yote ikasema Kilimanjaro Ni mkoa unaoongoza kuw na makaz Bora vijinn kwa 85% sasa huyo mshamba mwenzio anaepotosha kwann hajaweka picha ya hicho anachosema? Check majumba ya wachaga vijijin usidhan watu Ni maskin kama nyie kagera
FB_IMG_15020060897734219.jpeg
View attachment 1073750

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom