Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Kwani sio mtanzania Yule kama wew.Yaani Kwa matusi hayo unayoandika unaonesha ambavyo hauko gentle.kwa nini unatumia matusi bila kuwa na hoja za msingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inadhihirisha lile chapisho la serikali kuwa Kagera na wahaya ni maskini hapa Tanzania..

Anayetangazwa ni tajiri anashindwa kujitibia hahahahaha so sad.. Mpaka wabunge wenu nao wanaretweet eti tumsaidie, si wahaya ni matajiri mmeshindwa kupiga donee mkampatia pesa anayotaka..

Ndugu luambo makiadi njoo ucheke huko waliyetuambia tajiri leo anatembeza bakuli hahahahah..

Lipo wap chapisho la Tanzania kuwa wahaya ni maskini Tanzania? Please naliomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipo wap chapisho linasema wahaya ni maskini? Nilishawaambia acheni kuongea Kwa hisia ongea Kwa uhalisia na proof

Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera na wahaya ni maskini.. that's it...

Go argue with rocks... Kujionesha na kujipandisha kunawacost, ona mnayemuita tajiri anavyoumbuka.. Bed bills zimemshinda mpaka mnamuombea mamaee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa fursa anatuomba tumchangie buku buku hahahahahaaha..

Huyu si Tajiri jamani, sijawahi kuona tajiri akiomba omba in my life..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anahitaji sh ngap boss Ruge.na je gharama za matibabu ni sh ngap.na je ameanza kuumwa tangu lini? Na je kipato chake kinaongezeka?au kinapungua?

Na je hata Leo mengi hawezi firisika?

Unajua maana ya corporate business? Unajua maana ya Business entity?

Hahahahahaha muhaya tajiri anaomba misaada... Mengi haweziii in your dead life, hata alale miaka kumi IPP bado itakuwa imara, and afterall Tanzanite anayomiliki ni hatarii.. akiuza 10kg tu ana billions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera na wahaya ni maskini.. that's it...

Go argue with rocks... Kujionesha na kujipandisha kunawacost, ona mnayemuita tajiri anavyoumbuka.. Bed bills zimemshinda mpaka mnamuombea mamaee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu wa kishimundu ngoja niwambie shida yenu kuu tunayowaona nayo.

Mnajiona mko superior kuliko makabila mengi Tz lakini mnajiona inferior mbele ya wahaya hasa Kwa elimu Yao na sifa zao.ndo maana muhaya ni rahisi Sana kuoa huko uchagani Kwa sababu ni kabila mnaloliona liko juu kidogo zidi yenu waulize hata wazee wako watakwAmbia.

Ndo maana wale waliokuwa hawajui kuwa wahaya kuna vitu wanazidi wachaga ndo hawachoki kuanzisha nyuzi kuponda wahaya na bukoba ili kuiondolea mentality umma kuwa wahaya wako poor wakati jamiii nzima inaamini wahaya ni moja ya makabila yenye pesa

Ndo maana hapa dar wanatushutumu Sana kutokujenga bukoba maana wanaamini uwezo walionao bukoba ingekuwa bonge la city kuzidi hata dar

Hata ukitoa povu ukweli ndo huo

Ruge vipi amepata pesa? Hahahahahaha

Hahaha yani tajiri wa kihaya hospital bills za bongo tu zinamshinda.. nacheka sana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu wa kishimundu ngoja niwambie shida yenu kuu tunayowaona nayo.

Mnajiona mko superior kuliko makabila mengi Tz lakini mnajiona inferior mbele ya wahaya hasa Kwa elimu Yao na sifa zao.ndo maana muhaya ni rahisi Sana kuoa huko uchagani Kwa sababu ni kabila mnaloliona liko juu kidogo zidi yenu waulize hata wazee wako watakwAmbia.

Ndo maana wale waliokuwa hawajui kuwa wahaya kuna vitu wanazidi wachaga ndo hawachoki kuanzisha nyuzi kuponda wahaya na bukoba ili kuiondolea mentality umma kuwa wahaya wako poor wakati jamiii nzima inaamini wahaya ni moja ya makabila yenye pesa

Ndo maana hapa dar wanatushutumu Sana kutokujenga bukoba maana wanaamini uwezo walionao bukoba ingekuwa bonge la city kuzidi hata dar

Hata ukitoa povu ukweli ndo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize hili swali...

Kwanini wahaya mnapenda sana kuoa Uchaggani kuliko kuoa kabila lingine ambalo ni tofauti na lenu?

Alafu kwanini wanaume wa kichagga ni very rare kuao uhayani??

Je wanaume wa kihaya mmeona nini Uchaggani? Maana sasahivi wimbi limeongezeka mnakuja kibao kuomba dada zetu

Swali zuri Sana wanakuja kwa wingi uchagani kuoa dada zetu hawa washaija
Manake uchagani Ni very developed kila sekta karibuni uchagani ulaya ya tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu wa kishimundu ngoja niwambie shida yenu kuu tunayowaona nayo.

Mnajiona mko superior kuliko makabila mengi Tz lakini mnajiona inferior mbele ya wahaya hasa Kwa elimu Yao na sifa zao.ndo maana muhaya ni rahisi Sana kuoa huko uchagani Kwa sababu ni kabila mnaloliona liko juu kidogo zidi yenu waulize hata wazee wako watakwAmbia.

Ndo maana wale waliokuwa hawajui kuwa wahaya kuna vitu wanazidi wachaga ndo hawachoki kuanzisha nyuzi kuponda wahaya na bukoba ili kuiondolea mentality umma kuwa wahaya wako poor wakati jamiii nzima inaamini wahaya ni moja ya makabila yenye pesa

Ndo maana hapa dar wanatushutumu Sana kutokujenga bukoba maana wanaamini uwezo walionao bukoba ingekuwa bonge la city kuzidi hata dar

Hata ukitoa povu ukweli ndo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hadi miaka 500 ijayo mhaya hatokaa amfikie mchaga ktk idara yoyote ile huo ndio ukweli wala haiihitaji elimu ya diploma kujua Hilo
Ukiondoa wahindi,tz uchumi umeshikwa na wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya corporate business? Unajua maana ya Business entity?

Hahahahahaha muhaya tajiri anaomba misaada... Mengi haweziii in your dead life, hata alale miaka kumi IPP bado itakuwa imara, and afterall Tanzanite anayomiliki ni hatarii.. akiuza 10kg tu ana billions

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wahaya Ni maskini mno hela za wahaya wote tz nzima hazifiki hata robo ya hela ya mengi achilia mbali ma don wengine
uchagani hata mtu aliyeishia memkwa anamiliki asset za ma milion
Mengi hata alale miaka 60 hafilisiki
Ndio maana kila cku anatoa misaada ya mabilion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize hili swali...

Kwanini wahaya mnapenda sana kuoa Uchaggani kuliko kuoa kabila lingine ambalo ni tofauti na lenu?

Alafu kwanini wanaume wa kichagga ni very rare kuao uhayani??

Je wanaume wa kihaya mmeona nini Uchaggani? Maana sasahivi wimbi limeongezeka mnakuja kibao kuomba dada zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wa kihaya hamuwawezi.ndo maana mnaogopa kuwaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera na wahaya ni maskini.. that's it...

Go argue with rocks... Kujionesha na kujipandisha kunawacost, ona mnayemuita tajiri anavyoumbuka.. Bed bills zimemshinda mpaka mnamuombea mamaee

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema eti anataka chapisho la umaskini wao? Mwambie asome hili
FB_IMG_15020060897734219.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom