Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Endeleeni kujifariji. Nimewapa kibarua cha kuleta mtaa wowote ule wa bukoba ambao hauna lami?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mtaa ktk kata ya rwamishenye kumejaa funza tupu sema kingine boss
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa usio na lami ,ungeniuliza nitaje kwanza mitaa miwili ,ningefeli ,nliwahi kama mwezi .
Hahaha mkuu nimemuwekea picha ya mtaa huko bk mjini rwamishenye una vumbi Kali balaa
Nb* nimewasili Salama jijini Rio Brazil kutokea cologne safari ya takribani masaa 40
Ndio maana sikuwa hewani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti ufananishe na moshi, mji msafi zaidi mfululizo toka uhuru
Hahaha Ni ushamba unamsumbua mkuu si unajua tena ndugu zetu Hawa ushamba na ubishi ndio ulikozaliwa
Ukienda kimji chao bk huwez jua kama upo mjini kilugha mwanzo mwisho na kubishana vijiweni ndio maana umaskini unawTafuna hadi kiama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatia aibu, mtu mmemuita tajiri kwenye huu uzi, leo hii anaomba msaada kwa watanzania..

Hahaha tajiri anashindwa kujipipia hospital bills??? Fake ass hayas

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sio mtanzania Yule kama wew.Yaani Kwa matusi hayo unayoandika unaonesha ambavyo hauko gentle.kwa nini unatumia matusi bila kuwa na hoja za msingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom