Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Bukoba panakaa kijani mda wote na Hali ya hewa ni ya kipekeee kabisa sijawahi ona.sio joto wala sio baridi na wakati huo kuna upepo mrua kutoka ziwaniView attachment 1024228

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Moshi Hakuna ukijan MDA wote?View attachment 1024242
tapatalk_1548810840333.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lake amezaliwa bukoba kakulia ,somea sa anaamini mama take ndo mpishi bora ,kaka atembeee,akifika marangu mtoni harudi kwao
Hahaha na ndilo tatizo lao wao asilimia kubwa hawajatembea unakuta mtu Ana miaka 40 hajawahi toka nje ya kagera akijenga kajumba anasema tz nzma Hakuna Kama yy kiufupi wanasumbuliwa na ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lake amezaliwa bukoba kakulia ,somea sa anaamini mama take ndo mpishi bora ,kaka atembeee,akifika marangu mtoni harudi kwao
kila mtu na hali ya hewa anayopenda mbona mnakuja jiuza mwenye vibanda huku mjini,mi napenda joto wengine baridi
Hahaha hahaha manispaa wanapasua mbao????
Mimi nimekaa bukoba weekend hujui hata uende wapi,midemu mibayaaaaaaaaaaaa miwanaume much know
Na hapo rwamishenye ni kata iliyo Manispaa ya bk
Imagine Manispaa wanapasua mbao hahaha bk haina hadhi ya kuitwa Manispaa walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga mkoa gani sio kijani ,kaka matako kila mtu anayo tutakusifu kwa macho ya blue tu
Hahaha mkuu Hawa wahaya huwa wanachekesha kweli tatizo Ni ushamba wahaya 80% Ni washamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kujifariji. Nimewapa kibarua cha kuleta mtaa wowote ule wa bukoba ambao hauna lami?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • DV2A4496.JPG
    DV2A4496.JPG
    457.9 KB · Views: 23
Back
Top Bottom