luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #1,141
Watu wenye iq kubwa wanazaliana hovyo bila mpangilio? Nyie ni maskini totally iq kubwa tungeiona kwenye maendeleoMi hata sijaelewa unaongea nini.unatetea nini ? Unajikanyaga na kujichanganya mwenyewe.nani asiyejua kuwa mkoa WA kagera unatoa watu wenye IQ kubwa kuliko mkoa wowote ule bongo? Waha sijui wakerewe labda uwalinganishe na wachaga.fuatilia vizr huu Uzi tangu mwanzo .watu wenye akili kama zako wameumbuka na kukimbia tayari.baada ya kuona hospital,shule na majumba yalioko vijijini.mwanza wahaya ndo wameishikiria kama uamini angalia interaction iliyopo kati ya mwanza na bk.bado dar hapo.halafa Acha kuongea Kwa maneno leta fact .tuanze na bukoba tu.nitajie kampuni, ghorofa, supermarket.shule nk nk vinavyomilikiwa na wachagaView attachment 1022082
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez kusema umeelimika wakati Ni maskin
Sent using Jamii Forums mobile app