Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Takwimu hii hapa mkuu
Hawa kagera Ni mbwembwe tu wakipost vi picha vya nyumba 5 wanajiita matajiri wakati uchagani migorofa imetapakaa vichochoroni
Hebu waone jinsi walivyo maskiniView attachment 1019895

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inakuwaje Kagera kuwa karibu ya mwisho kimaendeleo nchini pamoja na ardhi kubwa, maji mengi, kilimo, uvuvi nk? Inaonekana elimu ya watu wa Kagera bado haiwasaidii. Hata Lindi na Mtwara, Singida na Shinyanga wanawazidi pamoja na changamoto zao zote? Inashangaza!
 
Hata miaka 600 mbele makazi ya wahaya vijijin hayawez fikia hata robo ya uchagani
Kilimanjaro imepiga hatua kabla hata ya Uhuru
Maendeleo ya kule yanachagizwa na watu kuupenda mkoa wao sio Kama wahaya wanavyounyanyapaa mkoa. Wao
Check hapa chini Hadi vichochoroni huko uchagani Kuna lamiView attachment 1019911

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie kweli takataka, yaani mkipata kapicha kamoja ndo kanamaliza uzi mwanzo mwisho. [emoji3] [emoji3] [emoji3] nshajua picha utakayoleta kujibu comment hii
Maneno mengi kumbe hamna kitu
 
Nimekuchoka na picha zako .picha hazibadiliki ? Ni zilezile Tu? Wenzako wamekubali halafu bado unajifanya uelewi anyway bukoba vijijini umepaona hata kama ukiendeleza mijadala yako lakini uhalisia umeona nakua utavunga Ila ukweli ndo huo .anyway karibu bukoba hebu nikuongezee na hizi huko bukoba vijijiniView attachment 1019912View attachment 1019913View attachment 1019914View attachment 1019915View attachment 1019916View attachment 1019920View attachment 1019921View attachment 1019922View attachment 1019923

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] jamani mhurumie luambo makiadi atakufa na pressure. Yeye analeta tupicha tule tule anaturudia wewe unaporomosha vitu vipya. Dah umeua bro
 
Hivi inakuwaje Kagera kuwa karibu ya mwisho kimaendeleo nchini pamoja na ardhi kubwa, maji mengi, kilimo, uvuvi nk? Inaonekana elimu ya watu wa Kagera bado haiwasaidii. Hata Lindi na Mtwara, Singida na Shinyanga wanawazidi pamoja na changamoto zao zote? Inashangaza!
Kagera kua moja ya mikoa masikini ni aibu sana.Jamaa hawa hawapo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu mkuu hiki kipigo umewapa cha mbwa koko aisee. Mtu mwenye akili anaona akina mangi wameleta picha tano tu, ila uhayani picha kama mia hivi alafu bado wanajisifu ujinga
 
Mnapochukua hizo picha Instagram hizi mbona mnaziacha?????
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Screenshot_2019-02-10-08-29-49.jpeg
 
Hivi inakuwaje Kagera kuwa karibu ya mwisho kimaendeleo nchini pamoja na ardhi kubwa, maji mengi, kilimo, uvuvi nk? Inaonekana elimu ya watu wa Kagera bado haiwasaidii. Hata Lindi na Mtwara, Singida na Shinyanga wanawazidi pamoja na changamoto zao zote? Inashangaza!
Wilaya ya biharamulo umaskini ni zaidi ya Asilimia 65 na ni wilaya kubwa mkoa kagera .hata hiyo wilaya wakiipachika Arusha pataonekana maskini hata kama sehemu nyingine za Arusha zimeendelea.hebu tazama wilaya za wahaya muleba, bukoba na misenyi zipo vzr na ndo zina wasomi kibao


Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Mhh naweza ona shule kama kumi ivi za vijijini bukoba zenye maghorofa na ubora wake nijue tuu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia hizo shule
Ndo uje uongee hapa kama unataka picha nitakuletea
1.st achileus kiwanuka kijwire
2.katoke rwelu
3.hekima girls
4.kwauso
5.st Michael
6.sacred heart
7.st Joseph rutabo
8.st severine
9.Rweikiza
10.st Augustine
Nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom