tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kupanda ndege uko bukoba ni mafanikio ?acha ulimbuken ,Pale kia ndege zinapishana abiria zaidi ya laki 7 kwa mwaka ukitoa wageni yani wala hata sio story...sasa 45000 kwenye laki 7 inaingia mara ngapKwa lip Yani Kwanza wamekimbia wote? Hebu tazama hiyo habari ujue tunawacheka Tu na ushamba wenuView attachment 1019659
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app