Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mkuu ushawamaliza!!!! Lazima uzi huu waukimbie tu
Atumalize kwa kipi? Kwa umaskini huu huko uhayan ?
tapatalk_1549734853859.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuweka migheto umeanza kukwepa kukimbilia kwenye barabara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ok Kwa sasa vijiji vya uhayani vimeanza kuwekwa lami kamachumu ,katoma, mugana ,kanyigo,maruku,bugabo, kashozi,ibosa,izimbya,ibwera,katerero nk nk vimeshaugwanishwa na lami sasa.na sasa ujenzi wa lami Kati ya muleba na vijiji vya Rubya unaendelea. hapo ni lami maeneo ya kamachumu kijiji burembo View attachment 1019400

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti migeto nimekwepa
Nan kakwepa? Ww baada ya kukuumbua Uchagani na vijijini kwenu kulivyochoka ndio ukachanganyikiwa kbs
Uchagani tupo vizuri idara zote
lami ipo hadi vichochoroni tangu kabla ya Uhuru check vichochoro hivi huko uchagani
Hahaha nyie ndio mnapata Léo?
Hakuna idara yoyote mhaya atakaa amfikie mchaga View attachment 1019936
tapatalk_1549765476053.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko não naratibuu nawaburuta hadi wajue akina mangi ni next level

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unachekesha
Unachukua picha 3 unasema ndio kamachumu nzima? Ichek kamachumu yako ilivyopauka
sisi tuna deal na maisha ya vijin uchagani Hakuna kijij kilichochoka hivi hahaha mhaya atabk maskini tu kwa mchagaView attachment 1019929View attachment 1019930View attachment 1019931

Sent using Jamii Forums mobile app
Atumalize kwa kipi? Kwa umaskini huu huko uhayan ?View attachment 1019932

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazidi kunitibua zaidi hebu twende misenyi kidogo .uhayana maghorofa ni kitu cha kawaida mkuu
FB_IMG_15498329568783002.jpeg
FB_IMG_15498329376507339.jpeg
FB_IMG_15498329864776425.jpeg
FB_IMG_15498327171982587.jpeg
Screenshot_20190211-000539.jpeg
Screenshot_20190210-110253.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima wachange ili yake
Magari yao wakati wa kwenda kuhiji yaweze kupita. Viva wachaga. Hivi sisi wa makabila mengine kila
Siku tunaililia serikali ije itujengee barabara hata za changarawe
Asante mkuu kwa ku àppreciate
Wachaga tunajiongeza hatuangalii serikali ndio maana hata kwa upande wa shule ndio tunaongoza tz nzima
Huwezi sikia Kilimanjaro mtoto ameshindwa kwenda secondary kisa Madarasa
Kule kuna ziada ya Madarasa Hadi mengine mijusi wanalalia
Ndugu zetu kagera wao Ni maneno tu mkoa wao wototo zaidi ya 15 elfu wameshindwa kwenda secondary kwa kukosa Madarasa
FB_IMG_15484331604392327.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
afu mtu anasema Kilimanjaro ilikuwa inapendelewa kupelekewa miundombinu kuliko mikoa mingine tangu uhuru.
 
Kwan uchagani maghorofa vijijin Ni kitu Cha ajabu? Hahaha washamba bhana
Check mlivyo maskini hii ripoti ya mikoa maskini kwakweli haikusema uongo
tapatalk_1549735025400.jpeg
View attachment 1019977
tapatalk_1549734853859.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa ku àppreciate
Wachaga tunajiongeza hatuangalii serikali ndio maana hata kwa upande wa shule ndio tunaongoza tz nzima
Huwezi sikia Kilimanjaro mtoto ameshindwa kwenda secondary kisa Madarasa
Kule kuna ziada ya Madarasa Hadi mengine mijusi wanalalia
Ndugu zetu kagera wao Ni maneno tu mkoa wao wototo zaidi ya 15 elfu wameshindwa kwenda secondary kwa kukosa MadarasaView attachment 1019953

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa kichaga akijivinjari nyumban kwake machame
Maisha ya wachaga Ni Kama wazungu mazingira safiii
Hakuna mavumbi kama uhayanView attachment 1019955

Sent using Jamii Forums mobile app
Migari ya wachaga ktk maeneo ya kujidai huko marangu
Hakuna mhaya mwenye uwezo wa kumiliki hiiView attachment 1019956

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchagani moja hiyo utadhan Brussels ubelgijiView attachment 1019958

Sent using Jamii Forums mobile app
Makaz ya kisasa ya wananchi wa kawaida kbs huko uchaganiView attachment 1019960

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Hao wanasema hivyo ni Wale wavivu Kilimanjaro tunachangia maendeleo wenyewe kwa asilimia kubwa check lami huko uchagani Hadi vichochoroniView attachment 1019970

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unapaniki sana na picha zako za Instagram hebu tupatazame itahwa bukoba vijijini sio poa
FB_IMG_15498987209698037.jpeg
FB_IMG_15498988321454203.jpeg
Screenshot_20190211-181917.jpeg
FB_IMG_15498985460917514.jpeg
FB_IMG_15498988658506941.jpeg
FB_IMG_15498016768400671.jpeg
FB_IMG_15497857623581858.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom