Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Hakuna anaepost picha za Instagram hapa . tunapost picha za ukweli .eti Uganda??? Uganda unapafahamu weye!!View attachment 1018563

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kijumba cha fisadi malinzi kinafikia huu mgeto huko machame nshara ? Wahaya kwa wachaga bado sana
tapatalk_1549719512227.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uje kuongea na mchaga siku ukipata maji safi ya bomba..

Ona mnavyohangaika kutafuta maji.. Alafu ona huyo bibi wa kichaga amekaa na tap ya maji hapo pembeni..
View attachment 1018565View attachment 1018566View attachment 1018567

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu unawamaliza kbs
Eti wanasema hawataki picha za insta Sasa Kwan hizo picha za insta sio picha halisi? Hahaha Yan hawana hoja kabisa
Sasa wanataka tutoe picha mbinguni au? Hawajui sources of informations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshamba gani isiyo kuwa na migomba????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .shida ya maji itatokeaje nshamba mvua mwaka mzima bila kiangazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilishakwambia Acha kuongea Kwa hisia ongea kihualisia na Instagram yako hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila we unashangaza kwahiyo nshamba nzima Ina migomba?
Mbna hizo picha za bk unazopost nyingine Hakuna migomba?
Una hoja za kitoto hatari,picha ina maelezo kbs kuwa muuza maji anaitwa Ernest kaijage hahaha pole mkuu unaanza kukana kwenu?
tapatalk_1549823012837.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha halisi za Muleba na sio blah blah ni hizi...

Hizo zingine tunawajua kwa sifa. Hazina any supported evidence.. Kijiblog uchwara kama reference ni ujuha.

Afterall hakuna mchaga mshamba ajenge nyumba alafu aite blog imtangaze.. Tukisema wachaga wote matajiri wapige nyumba zao picha kule mgombani wafungue blog waziweke patakuwa hapatoshi hapa..

Hivyo tunataka picha za raia za kawaida tu ambazo zinapigwa randomly sio kwa fashion show.. Hapa ndio penye uhalisia maana picha inapigwa sio kwa madhumuni ya kwenda kujionyesha, pia hiyo inaonyesha maisha halisi ya eneo husika.

Unachofanya instanbul ni kama kupiga picha Masaki na Mikocheni alafu useme Dar yote iko hivyo..

Picha halisi za Muleba, ambayo ndio maisha ya 95% ni haya hapa..
View attachment 1018648View attachment 1018649View attachment 1018650View attachment 1018651View attachment 1018652

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kauli hii ndiyo inamuumiza instanbul
Tunataka picha randomly za wananchi wa vijijin uhayan Kama ambavyo tunatoa za uchagani
Unaleta za blog ambazo zipo special kwa fashion? Hahaha kamata mwizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom