Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Kwa nin wametumia hilo neno HII NDIO NYUMBA YA KISASA walikua wanamaanisha nin kwa kifupi
Wanamsifia kijana mdogo kama huyo kujenga nyumba hiyo kijijini kwake.Mkuu ukisikia wahaya wanajisifia usidhani wamerogwa mambo Yao yapo hiv
FB_IMG_15497834299623370.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio nyumba ya mtu bro .hata Nami naweza leta guest hapa .leta nyumba za watu halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli kichwan hazimo
Kuna Gest inakaa uchochoroni? Hahaha mbna povu ? Hiyo Ni nyumba ya kuishi mtu huko uchagani na Ni tangu enz na enz hahaha et gest
Alafu unasema insta sio picha halisi ? Kisa imewaumbua?
Mbna ww unaleta za blog sijakataa?
Nyie Ni maskini makaz ya vijijin mhaya hamfikii mchaga hata robo
Umepagawa na mahekalu ya wachaga Hadi unasema Ni Gest Kuna Gest zinajengwa vichochoroni? Hebu kuwa na aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Helkopta ya mchaga ikiwa imepaki nyumbn
Helkopta huko uchagani Ni Kama daladala zipo za kumwaga Hakuna mhaya hata mmoja mwenye uwezo wa kumiliki hii kitu
Uhayan mtu tajiri eti anamiliki mabasi 6 ya kemboys huyo ndio mfalme wakati uchagani unakuta mtu mmoja Ana Basi zaidi ya 20 mfano BM safari Ana bus 30
Mhaya kwa mchaga kumfikia labda miaka 600 ijayo
tapatalk_1549717664407.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wananchi hawana akili. Kwani kodi hawalipi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio huna akili
Serikali huwa haiwez kuleta kila kitu
Kilimanjaro tunajiongeza tuna lami hadi vichochoroni ndan ndan kbs
Huwa tunachanga na kujenga wenyewe (sio main road )
Check picha hapo chini Kilimanjaro unavyoona IME develop Ni kuwa tunaithamn we endelea kuisubiri serikali uone utakufa maskin
tapatalk_1549822577375.jpeg
tapatalk_1549765476053.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima wachange ili yake
Magari yao wakati wa kwenda kuhiji yaweze kupita. Viva wachaga. Hivi sisi wa makabila mengine kila
Siku tunaililia serikali ije itujengee barabara hata za changarawe
 

Attachments

  • 618.jpeg
    618.jpeg
    112.7 KB · Views: 24
  • 93.jpeg
    93.jpeg
    87.9 KB · Views: 24
Baada ya kuweka migheto umeanza kukwepa kukimbilia kwenye barabara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ok Kwa sasa vijiji vya uhayani vimeanza kuwekwa lami kamachumu ,katoma, mugana ,kanyigo,maruku,bugabo, kashozi,ibosa,izimbya,ibwera,katerero nk nk vimeshaugwanishwa na lami sasa.na sasa ujenzi wa lami Kati ya muleba na vijiji vya Rubya unaendelea. hapo ni lami maeneo ya kamachumu kijiji burembo
FB_IMG_15497830476093828.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli kichwan hazimo
Kuna Gest inakaa uchochoroni? Hahaha mbna povu ? Hiyo Ni nyumba ya kuishi mtu huko uchagani na Ni tangu enz na enz hahaha et gest
Alafu unasema insta sio picha halisi ? Kisa imewaumbua?
Mbna ww unaleta za blog sijakataa?
Nyie Ni maskini makaz ya vijijin mhaya hamfikii mchaga hata robo
Umepagawa na mahekalu ya wachaga Hadi unasema Ni Gest Kuna Gest zinajengwa vichochoroni? Hebu kuwa na aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii kabisa ni nyumba ya mtu huko uhayani
FB_IMG_15497856865437506.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Helkopta ya mchaga ikiwa imepaki nyumbn
Helkopta huko uchagani Ni Kama daladala zipo za kumwaga Hakuna mhaya hata mmoja mwenye uwezo wa kumiliki hii kitu
Uhayan mtu tajiri eti anamiliki mabasi 6 ya kemboys huyo ndio mfalme wakati uchagani unakuta mtu mmoja Ana Basi zaidi ya 20 mfano BM safari Ana bus 30
Mhaya kwa mchaga kumfikia labda miaka 600 ijayoView attachment 1019346

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah babu wewe kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom