luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #301
kwakweli unatia hurumaMkuu Mangi uliyeotea, mimi sikatai kumpa mtu sifa yake. Kwanza katika watu wanao appreciate watu wanaofanya jambo jema regardless origin yao mimi ni wa kwanza. Shida ya hawa wenzetu akina nyinyi mnataka sifa zote mchukue nyie. Yaani hakuna sifa inayotakiwa kuchukuliwa na mkoa mwingine. As if nyinyi ndio super men wa Tanzania kumbe choka mbaya tu! Hivi imagine unapostiwa uzi ambao hauwagusi wao hata kidogo bali unaigusa Kagera na mafanikio yake katika ufaulu kielimu watu na wivu wenu mnataka kukaa kidete kuhakikisha hiyo sifa haiendi Kagera, nayo mnaitaka nyie! Mbaya zaidi mmeshaitaka basi onyesheni vielelezo, hamna! Ni maneno ya sifa tangu reply ya kwanza hadi ya 1k. Tunaanzaje kuwanyamazia watu wenye sifa za kipuuzi kama hizi??
Waseme tu Kilimanjaro ndo mkoa unaoongoza kwa kuwa na baridi Tanzania watoe na data, tuwakubalie! Kilimamjaro inaongoza kwa kuwa na watu wenye meno meusi, tuwakubalie, Kilimanjaro inaongoza kwa ulevi tuwakubalie, n.k. Lakini sisi tukisema Kagera inaongoza kwa elimu tena na vielelezo juu wao wakatae! Si ungese huu?? Nasema hivi TUNAKOMAA NAO
Sent using Jamii Forums mobile app
eti kagera inaongoza kwa elimu
kwan juz sijakupa vielelezo?
mkoa wa kagera ulikuwa wa 1 darasa la nne Kilimandjaro ikawa ya 3
form two Kilimanjaro ikawa ya 6 kagera ya 7
ukija kihalmashauri,Drs la nne bukoba ilikuwa ya 9 huku Moshi ikawa ya 3,
mwaka Jana form four Kilimanjaro ilikuwa ya I kagera ikawa ya 9
Sasa ni elimu ipi mliotupita?
ukija kwenye maendeleo na uchumi ndio kabisaaa hata hamtusogelei
Kilimanjaro ni mkoa wa 2 tz wananchi wake kuwa na gdp kubwa pmj na makaz Bora baada ya dar
huku kagera ikiwa ni ya 3 kwa umaskini sasa unawezaje kuwa na ubavu wa kujibizana na Kilimanjaro?