Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wapi huko unapopasema? Gonja ama?? Yaani we jamaa unachekesha balaa. Yale maisha ya upareni ndo unataka kuyalibganisha na ya Bukoba?? Kama hayo ya uchagani yenyewe hayaoni ndani yatakuwa hayo ya wapare! Mjilinganishe nao hao ndugu zenu[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini magodoro yenu hamtoi nylon?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unapenda blah blah sana..

Tafuta kile kitabu cha kalenda cha KKKT alafu fananisha vitu vinavyomilikiwa na Dayosisi ya Kaskazini na ufananishe na Dayosisi ya huko uhayani.

Hapo ndo utajua unapiga blah blah tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na ukatoliki kushika Sana uhayan .bado urutheli nao hauko nyuma kivila mpaka huyu akawa mtanzania wa kwanza kuongoza hii nafasi kwenye urutheli Tanzania na bado ni mhaya.we leta hiyo diary tuone.karagwe huko na kyerwa ulutheri umekama Sana .hebu tafuta nawe dayosis ya karagwe na dayosis ya kaskazin magharibi.je unamfahamu Josiah kibira?
Screenshot_20190209-120140.jpeg
Screenshot_20190209-120214.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ukatoliki kushika Sana uhayan .bado urutheli nao hauko nyuma kivila mpaka huyu akawa mtanzania wa kwanza kuongoza hii nafasi kwenye urutheli Tanzania na bado ni mhaya.we leta hiyo diary tuone.karagwe huko na kyerwa ulutheri umekama Sana .hebu tafuta nawe dayosis ya karagwe na dayosis ya kaskazin magharibi.je unamfahamu Josiah kibira?View attachment 1017592View attachment 1017593

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kumfahamu.. Niambie hiyo Dayosisi inamiliki nini?

Shule ngapi, hospitali ngapi, vyuo vikuu vingapi, vyuo vishiriki vingapi, bank ngapi?

Niambie vitu hivyo sio sijui namjua nani na blah blah...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kumfahamu.. Niambie hiyo Dayosisi inamiliki nini?

Shule ngapi, hospitali ngapi, vyuo vikuu vingapi, vyuo vishiriki vingapi, bank ngapi?

Niambie vitu hivyo sio sijui namjua nani na blah blah...

Sent using Jamii Forums mobile app
nataja hospital Tu
1.Elct bukoba hospital
2.Ndolage hospital kamachumu
3.Izimbya hospital bukoba vijin
3.Nyakahanga hospital
Nk nk
Screenshot_20190209-124103.jpeg
Screenshot_20190209-124039.jpeg
Screenshot_20190209-123343.jpeg
Screenshot_20190209-123426.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190209-124348.jpeg
    Screenshot_20190209-124348.jpeg
    40.4 KB · Views: 22
Sasa hivi ndio ulinganishe na Dayosisi ya Kaskazini?

KCMC Hospitali kubwa ya pili Tanzania baada ya Muhimbili inamilikiwa na Dayosisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sio mtu WA kudanganywa bure.mi sio mshamba na mjinga wa kunidanganya kirahisi hivyo mpaka mama yangu anafahamu Hilo.una uhakika kuwa kcmc inamilikiwa na dayosis ya kaskazin? Kcmc inamilikiwa na elct ya Tanzania nzima.kama bugando imejengwa jijini mwanza lakini sio ya Jimbo la mwanza wala Bali ni ya Tec .ndo hivyohivyo Kwa kcmc.mmiliki ni elct
Screenshot_20190209-130050.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ndio ulinganishe na Dayosisi ya Kaskazini?

KCMC Hospitali kubwa ya pili Tanzania baada ya Muhimbili inamilikiwa na Dayosisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kutaka kunicheat nikusamehe Tu basi, hebu leta hospital zinazomilikiwa na dayosis ya kaskazin .hebu ziorodheshe na leta picha kama navyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kutaka kunicheat nikusamehe Tu basi, hebu leta hospital zinazomilikiwa na dayosis ya kaskazin .hebu ziorodheshe na leta picha kama navyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza na Marangu Hospital.. Ingawa ulutheri Marangu ni kama 5% tu lakini hao hao wachache wamejenga hiyo hospital kwa pesa zao wenyewe...
images%20(3).jpeg
images%20(4).jpeg
images%20(5).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dayosisi ya Bukoba mna vyuo vikuu vingapi? Mna bank?

Dayosisi ya Kaskazini (naposema Kaskazini hii Dayosisi toa Upareni na Arusha) tuna Chuo Kikuu cha KCMC, Stefano Moshi Memorial.. Na vyuo vishiriki vya Machame na Mwika chuo cha theolojia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo kikuu cha kcmc please usinicheat

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kama KCMC ni hospital ya KKKT na ni serikali imejiingiza hapo kwa kuomba? Mpaka kesho Askofu wa Kaskazini ana sauti hapo KCMC na hata kuendelezwa ni kanisa linasimamia..

Ni majuzi tu hapa Mzee Mengi na Askofu Shoo walikutana Mzee Mengi anataka kutia hela kuboresha huduma pale..

BTW, Machame kijijini kabisa kuna mpaka English Medium Schools zinajengwa na shirika za walutheri. Hivi ushawahi kufikiria vijiji vya wahaya viwe na English Medium Schools.

Hii shule ya mitaala ya kingereza iko kijijini ndani kabisa.. Niletee shule ya hivi huko Muleba, wahaya si mnapenda elimu bana..


Screenshot_20190209-134717.jpeg
Screenshot_20190209-134738.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni Machame Hospital.. Hospital teule ya wilaya. Hapa kuna mpaka chuo kinatoa clinical officers ambao wakitoa ni direct kuchukua Degree..
View attachment 1017649View attachment 1017650View attachment 1017651View attachment 1017652View attachment 1017653View attachment 1017654View attachment 1017655

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama ndolage hospital ya huko kamachumu .napo kuna chuo pia ingawa urutheli uhayani ni 20% lakini wanajitahidi sana
Screenshot_20190209-135302.jpeg
03.%20Ndolage%20Hospital%2C%20New%20O.P.D_1.t5bb61d7d.m200.xa96f243a.jpeg
Screenshot_20190209-124103.jpeg
Screenshot_20190209-123604.jpeg
Screenshot_20190209-124039.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mlima Kilimanjaro uko wap .si wakitaka kupanda upitia vijijini.ndo maana kunajengwa resort huko vijijini.bukoba hata hakuna watalii WA kupanda milima lakini kuna hotel huko vijijini subiri nikuletee tulia bro

Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba kuna vijihotel sio hotel
Unajua maana ya hotel,hotel gan vitanda vina ma nailoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom