Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Pamoja na ukatoliki kushika Sana uhayan .bado urutheli nao hauko nyuma kivila mpaka huyu akawa mtanzania wa kwanza kuongoza hii nafasi kwenye urutheli Tanzania na bado ni mhaya.we leta hiyo diary tuone.karagwe huko na kyerwa ulutheri umekama Sana .hebu tafuta nawe dayosis ya karagwe na dayosis ya kaskazin magharibi.je unamfahamu Josiah kibira?View attachment 1017592View attachment 1017593

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfahamu Dr Fredrick shoo?
Ni maajabu kufananisha karagwe na kaskazn kimaendeleo hebu futa kauli yako kwanza
Hapa ni shule ya msingi kanyamagana karagwe
FB_IMG_15490019553761321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aninicheat huyo ananiambia kcmc inamilikiwa na dayosis ya kaskazin. Sikuamini tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Oook poleni.Itakuwa wino ulimteleza:


KCMC nijuavyo inamilikiwa na lutheran Tz(KKKT),

Kama ilivyo BUGANDO inavyomilikiwa na wakatholic

Na pia Mfano mwingine kuna kama station za RADIO kama vile RADIO MARIA ya wakatoliki


Na RADIO SAUTI YA INJILI ILIYOPO MOSHI ya walutherani.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona una paniki sana

Marangu hospital
Machame ...
Karatu....
Komalyangoe...
Uhuo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba kuna
1. Ndolage kamachumu hospital
2.Ndolage bukoba hospital
3.izimbya hospital
4.Nyakahanga hospital
5.Rwambaiz hospital
Pamoja na Kwamba urutheli ni Asilimia 20 Tu uhayani

Kanisa katoliki linamiliki yafuatayo kihospitali
1.Rubya hospital
2.kagondo hospital
3.Mugana hospital
4.kajunguti hospital
5.Rulenge hospital

Na serikali ina
1.Government referral hospital
2.Nshambya hospital
3.kaigara
4.Biharamula hospital
Nk nk

Taasisi binafsi ni kama
Kagera sugar hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ndio ulinganishe na Dayosisi ya Kaskazini?

KCMC Hospitali kubwa ya pili Tanzania baada ya Muhimbili inamilikiwa na Dayosisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuongezee
tumaini makumira University
Stefano Moshi University college
Sellian hospital
Machame hospital
Mwika Bible college nk hivyo Ni vya Lutheran
tapatalk_1549286713122.jpeg
tapatalk_1549286602080.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oook poleni.Itakuwa wino ulimteleza:


KCMC nijuavyo inamilikiwa na lutheran Tz(KKKT),

Kama ilivyo BUGANDO inavyomilikiwa na wakatholic

Na pia Mfano mwingine kuna kama station za RADIO kama vile RADIO MARIA ya wakatoliki


Na RADIO SAUTI YA INJILI ILIYOPO MOSHI ya walutherani.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hivi unaamini Mluteri wa Karagwe, Iringa akubali kutoa pesa akajenge hospital Moshi?

KCMC ni wazee wetu walikuwa wanatoa sadaka tangia enzi na enzi. 90% ya ile Hospital ni pesa za wakaskazini na ndio maana mpaka kesho walezi wa ile Hospital ni Dayosisi ya Kaskazini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kama KCMC ni hospital ya KKKT na ni serikali imejiingiza hapo kwa kuomba? Mpaka kesho Askofu wa Kaskazini ana sauti hapo KCMC na hata kuendelezwa ni kanisa linasimamia..

Ni majuzi tu hapa Mzee Mengi na Askofu Shoo walikutana Mzee Mengi anataka kutia hela kuboresha huduma pale..

BTW, Machame kijijini kabisa kuna mpaka English Medium Schools zinajengwa na shirika za walutheri. Hivi ushawahi kufikiria vijiji vya wahaya viwe na English Medium Schools.

Hii shule ya mitaala ya kingereza iko kijijini ndani kabisa.. Niletee shule ya hivi huko Muleba, wahaya si mnapenda elimu bana..


View attachment 1017681View attachment 1017682

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai kuwa ni hospital ya kkkt Bali nakataa kumilikiwa na dayosis.halafu unaleta shule hapo.kumbuka shule ziko bukoba zipo vijijini na zinafanya vizr san ukinitibua upande huo nitakuumbua vibaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kutaka kunicheat nikusamehe Tu basi, hebu leta hospital zinazomilikiwa na dayosis ya kaskazin .hebu ziorodheshe na leta picha kama navyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital za dayosis ya kaskazn
Sellian hospital
Machame hospital
Kibongoto hospital (siha)
Hizo Ni hospital zenye hadhi sio viji hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oook poleni.Itakuwa wino ulimteleza:


KCMC nijuavyo inamilikiwa na lutheran Tz(KKKT),

Kama ilivyo BUGANDO inavyomilikiwa na wakatholic

Na pia Mfano mwingine kuna kama station za RADIO kama vile RADIO MARIA ya wakatoliki


Na RADIO SAUTI YA INJILI ILIYOPO MOSHI ya walutherani.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sauti ya mama maria huwa tunasikia wanachangiwa Tanzania nzima na waroma wa parokia mbalimbali..

Ulishasikia Sauti ya Injili ikichangiwa sehemu nyingine ukitoa Moshi? Ndio ilivyo hata kwa KCMC.. Vitu hivyo vinafanywa tu vionekane ni vya Lutheran Tanzania lakini kiuhalisia vimejengwa na kuendelezwa na Lutheran Kaskazini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaamini Mluteri wa Karagwe, Iringa akubali kutoa pesa akajenge hospital Moshi?

KCMC ni wazee wetu walikuwa wanatoa sadaka tangia enzi na enzi. 90% ya ile Hospital ni pesa za wakaskazini na ndio maana mpaka kesho walezi wa ile Hospital ni Dayosisi ya Kaskazini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaahha kwamba Mkaragwe[emoji2]

Haya mkuu,mimi sina undani wa haya mambo niwatakieni mchana mwema tuu.
Yangu yalikuwa ni hayo.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom