luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #361
kunywa balimi moja mkuuWaambie tu kuwa kijijini kwangu/kwetu, wilaya ya Same huko milimani kabisa inaligwa lami hadi barabara kuu, ni lami kabisa inaunganisha kijiji na wilaya.
Waulize hao wahaya na Kagera yao, ni kijiji gani kinaunganisha barabara za lami wilayani? Nimeenda hadi Kyerwa, makao makuu ya wilaya wameanza kupafanya paonekane angalau kidogo juzi tu, njoo mji mkuu Bukoba, hata stand tu ya mabasi umewashinda, wamebaki kuvutana wapi ikajengwe stand mpya mwaka wa tano huu.
Mwisho kabisa, Bukoba itachelewa sana kuendelea kwa sababu watu wake ni wabaguzi, hao makaburu wanasubiri. Inasikitisha kuona wahaya walivyo wabaguzi hasa wakishagundua kuwa wewe sio mzawa na unaishi kwao. Uzuri tu ni kwamba tukienda huko "tunapewa", na tahadhari kabisa ya kutandikwa mipira/nylon kwenye vitanda. Hotel nzuri kama Walkguard lazima kitanda kina nylon, waulize kwa nini!!!