luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #321
bado hujajibu swali,swali langu sio askofu muhaya kuwa askofu Jimbo jingine hiyo sio hoja yangu(kumbuka Baraza la maaskofu katoliki Kati ya maaskofu 34 wachaga pekee ni 11)We unaona majimbo yamegawanywaje? majimbo ya kikatoliki yanagawanywa kulingana na nature na utamaduni wa watu . kumbuka kanisa linaendana na utamadunisho ili injili iweze kuenea vzr kanisa limejitamadunisha ndo maana majimbo yamegawanywa hivyo Hilo halizuii kiongozi wa Jimbo Hilo kutoka Jimbo lingine na pia fuatilia Jimbo la bukoba na jinsi lilivyoanza bila kusahau Tanzania mapadre wa Kwanza wametoka huko na askofu mweusi wakwanza huko na kardinali wa Kwanza mweusi katokea huko uhayani.ndo Jimbo linaloongoza kuwa na mapadre wengi wa Jimbo au wazawa Tanzania, maaskofu wengi ndo maana hata Jimbo la bukoba linaloongozwa na maaskofu wawili askofu Rwoma na kilaini,ndo Jimbo lenye seminary kongwe zaidi TANZANIA RUBYA seminary ilioanzishwa 1903 na ndo Jimbo lenye parokia nyingi ambazo zipo 60 baada ya dar.na mengine mengi kupita maelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
hoja yangu ni je kwann majimbo mmegawana kikabila kabisa?
jimbo katoliki la bk ni kwa wahaya tu jimbo la kayanga ni kwa wanyambo tu,jimbo la rulenge ni ngara tu kwann? umeshaona mgawanyo kama huo popote tz?
2_naweza kubisha kuwa jimbo la bk ndio lenye mapadre wengi wazawa(ngoja nifanye utafiti)
3_jimbo katoliki la moshi ndio linaloongoza kuwa na mapadre wengi nje ya nchi,kule kila parokia angalau unakuta Ina mapadre 3,4 wanaokaa nje
mfano parokia yangu Ina mapadre 6 nje ya nchi, parokia ya jiran nazo vivyo hivyo