Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Mkuu Mangi uliyeotea, mimi sikatai kumpa mtu sifa yake. Kwanza katika watu wanao appreciate watu wanaofanya jambo jema regardless origin yao mimi ni wa kwanza. Shida ya hawa wenzetu akina nyinyi mnataka sifa zote mchukue nyie. Yaani hakuna sifa inayotakiwa kuchukuliwa na mkoa mwingine. As if nyinyi ndio super men wa Tanzania kumbe choka mbaya tu! Hivi imagine unapostiwa uzi ambao hauwagusi wao hata kidogo bali unaigusa Kagera na mafanikio yake katika ufaulu kielimu watu na wivu wenu mnataka kukaa kidete kuhakikisha hiyo sifa haiendi Kagera, nayo mnaitaka nyie! Mbaya zaidi mmeshaitaka basi onyesheni vielelezo, hamna! Ni maneno ya sifa tangu reply ya kwanza hadi ya 1k. Tunaanzaje kuwanyamazia watu wenye sifa za kipuuzi kama hizi??


Waseme tu Kilimanjaro ndo mkoa unaoongoza kwa kuwa na baridi Tanzania watoe na data, tuwakubalie! Kilimamjaro inaongoza kwa kuwa na watu wenye meno meusi, tuwakubalie, Kilimanjaro inaongoza kwa ulevi tuwakubalie, n.k. Lakini sisi tukisema Kagera inaongoza kwa elimu tena na vielelezo juu wao wakatae! Si ungese huu?? Nasema hivi TUNAKOMAA NAO

Sent using Jamii Forums mobile app
Check hiyo ni mwaka 1942 Hao ni wagombea umangi mkuu wote walikuwa na degree isipokuw mangi mareale aliyekuwa na masters kutoka Cambridge University,imagine watawala wa jadi walikuwa smart kiasi hicho
Level yenu ni kigoma kililmanjaro ni une NYINGINE aisee
FB_IMG_15464271929584151.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu matomaso waliokuwa wakibisha hebu waje hapa
Windhoek
instanbul
sundoka
@liqueme
Kilimanjaro ni hbr NYINGINE Hakuna mahali popote tz wenye uwezo wa kuchanga bilion 7
Jimbo Zima la vunjo barabara za vijijin zinakarabatiwa kikamilifu big up Kilimanjaro
Jimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hiyo ni mwaka 1942 Hao ni wagombea umangi mkuu wote walikuwa na degree isipokuw mangi mareale aliyekuwa na masters kutoka Cambridge University,imagine watawala wa jadi walikuwa smart kiasi hicho
Level yenu ni kigoma kililmanjaro ni une NYINGINE aiseeView attachment 1008085

Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza hata sisomi hayo madude nikishaona hayahusiani na uzi wenyewe. Nadhani ni wakati wa kutuonesha hizo bil 7 zilivyokusanywa na barabara za lamikm 232 zinazojengwa kwa hiyo hela. Stick to the topicplz. Hayo malinganisho mengine yana nyuzi zake, tukutane huko! Ndo maana mnafeli. Swali moja mnajibia poits zozote hata za kujibu maswali mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma tuendelee kuamka saa mbili na SAA tatu kufungua biashara wakati mikoa mingine saa kumi na mbili unapata huduma.Alhamisi siku ya usafi ndio kabsaa biashara zinafunguliwa SAA nne mpaka saa tano.Ukiuliza unaambiwa ni siku ya usafi maduka na hoteli yamefungwa na huoni anayefanya usafi wanakuja kuanzia saa nne.Hivi wahusika huu usafi wanafanya majumbani au ni sehem zao za biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hiyo ni mwaka 1942 Hao ni wagombea umangi mkuu wote walikuwa na degree isipokuw mangi mareale aliyekuwa na masters kutoka Cambridge University,imagine watawala wa jadi walikuwa smart kiasi hicho
Level yenu ni kigoma kililmanjaro ni une NYINGINE aiseeView attachment 1008085

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama shule hii ya ihungo uko bukoba baada ya wazungu sasa wahaya wakaanza wenyewe kuiongoza baada ya kusoma.kwenye elimu mmepitwa mbali Sana nikikuletea maprofesa hapa utakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri unaleta evidence ya bil 7 za Vunjo na barabara km 232?? Kweli uzi ushaisha huu hamna pa kurukia mnapambana kuubadilisha ili mpate pa kutokea. Na tunakaza sasa hatubadiliki[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukarabat wa barabara zote za vijijin vunjo unaendelea picha hizo
Una jingine?
tapatalk_1548780474311.jpeg
tapatalk_1548780479608.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza hata sisomi hayo madude nikishaona hayahusiani na uzi wenyewe. Nadhani ni wakati wa kutuonesha hizo bil 7 zilivyokusanywa na barabara za lamikm 232 zinazojengwa kwa hiyo hela. Stick to the topicplz. Hayo malinganisho mengine yana nyuzi zake, tukutane huko! Ndo maana mnafeli. Swali moja mnajibia poits zozote hata za kujibu maswali mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuonyeshe maburungutu ya hela au? Si nimeweka picha zaujenzi huo wa barabara za vijijin vunjo km 200? Au macho yako mabovu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190110_134938_6.jpeg
    IMG_20190110_134938_6.jpeg
    61.1 KB · Views: 23
hatuwezi kukamilika kwa 100% hata ulaya na marekani hawajakamilika
lakini Kilimanjaro miundombn IPO juu
mno kulinganisha na mikoa mingine
ni mkoa Gan wananchi wanaweza kuchanga mabilion kama sii Kilimanjaro tu?
uzuri mmoja Kilimanjaro tunajiongeza serikali inamalizia tu, ndio maana mkoa wetu ni wa 2 tz wananchi wake kuwa na gdp kubwa
pia ni mkoa wenye miundombn toshelezi karibu 95%,uliwahi sikia Kilimanjaro tuna uhaba wa zahanati,shule nk?
tunataka barabara zote za vijijin tuziboreshe ziwe Kama uzunguni Kama imewezekana kwenye elimu,maji,afya barabara hazitushindi Big up Wana klm
sundoka
instanbul
Waambie tu kuwa kijijini kwangu/kwetu, wilaya ya Same huko milimani kabisa inaligwa lami hadi barabara kuu, ni lami kabisa inaunganisha kijiji na wilaya.

Waulize hao wahaya na Kagera yao, ni kijiji gani kinaunganisha barabara za lami wilayani? Nimeenda hadi Kyerwa, makao makuu ya wilaya wameanza kupafanya paonekane angalau kidogo juzi tu, njoo mji mkuu Bukoba, hata stand tu ya mabasi umewashinda, wamebaki kuvutana wapi ikajengwe stand mpya mwaka wa tano huu.

Mwisho kabisa, Bukoba itachelewa sana kuendelea kwa sababu watu wake ni wabaguzi, hao makaburu wanasubiri. Inasikitisha kuona wahaya walivyo wabaguzi hasa wakishagundua kuwa wewe sio mzawa na unaishi kwao. Uzuri tu ni kwamba tukienda huko "tunapewa", na tahadhari kabisa ya kutandikwa mipira/nylon kwenye vitanda. Hotel nzuri kama Walkguard lazima kitanda kina nylon, waulize kwa nini!!!
 
Back
Top Bottom