Viva have weight lowa.
swissme
Magamba hakuna kujitolea kule kika kitu malipo
ni heavy weight wewe nyu.mbu wa ukawa wala si have weight.
halafu hao wamepewa buku mbili mbili tu na viroba wanaona kama wanadeki vile mageto yao.
Uwiiii haya ni zaidi ya MAHABA
Magufuli kupiga Push up kaonekana hana akili,lakini leo watu wanapiga deki kwenye barabara wanaonekana wamefanya kitu cha maana kabisa.
Yani tusio na huu ushabiki tunajione vituko vingi mwaka huu.
Kupiga push ups kwa Magufuli ni mazoezi, lakini kupiga deki ili "mkubwa" apite ni akili ya kitumwa na udhalilishaji wa hali ya juu. Hawa Chadema (waliojificha nyuma ya Ukawa) watawakomboaje watanzania toka kwa mkoloni mweusi wakati wao wenyewe wanafurahia vitendo vya kibwanyenye kama hivi mwaka 2015? Halafu Mkapa akiwaita malofa na wapumbavu wanaanza kupiga mayowe, oh tumetukanwa.
Ni kweli tusio na huu ushabiki tunajionea vituko vingi mwaka huu.
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...
Gesi ni ya nani?nani anaichimba?nani anaisafirisha?nani ana miliki mtambo wa kufua umeme pale kinyerez?umeme ni wa nani?nani ana nunua umeme?nani anafaidika?tunataka mabadilikooooo
NB:Ccm sio malofa,wana akili timamu ya kutafakari na kuchanganua sera!
Kuchanganua Sera za kupiga push up, kuruka kichura na kurukaruka jukwaani? Umechemka ndugu ndani ya CCM hakuna mwenye akili kwa sasa
hizo mbwembwe za kampeni wewe tumia akili,msibani penyewe siku hizi panapigwa muziki sembuse kumpokea MkomboziHuo ni ushamba,kuchanganyikiwa au kulata tamaa? Au kweli hawa vijana wamelewa viroba?
waliomdekia barabara Obama walikuwa wahuni wa wapiHao ni wahuni wa wapi?