Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Hii habari ndio watakuwa wanazungumzia usiku huu kwenye familia zao
 
CCM washaanza pumzika maana wamepiga hesabu hela zao zimeenda bure kabisa bora wasingefanya kampeni....
Waliemkataa ndio mshindi hadi sasa
 
Uwiiiiiiii wakurya mmetisha sanaaaa!
Mmempokea rais wetu kwa style ya aina yake!
Hongereni,ngoja na sisi huku Dar tujipange na sie tumpokee kivingine kwenye kufunga kampeni October 24.
 
Gesi ni ya nani?nani anaichimba?nani anaisafirisha?nani ana miliki mtambo wa kufua umeme pale kinyerez?umeme ni wa nani?nani ana nunua umeme?nani anafaidika?tunataka mabadilikooooo
 
Utasikia kesho wamekamatwa na polisi na kupandishwa kizimbani.
 
Sijui Kasuku wao atakariri aliyo yasema Simbachawene kwamba GESI sio yetu ni ya mwekezaji binafsi!!!??? Halafu atambe tena kwamba atawafukuza viongozi wote wa TANESCO, huku akijua kwamba Mkurugenzi wa TANESCO anahaha kusaka fedha za kulipia GESI ya watu ili tusilale giza wiki ijayo!!!
 
Utasikia kesho wamekamatwa na polisi na kupandishwa kizimbani.

hahaha watakamatwa na mashitaka yatakuwa ni kitendo cha kudeki barabara bila kibali maalum yakakuwa kama ya kariakoo dar ngoja tusubiri
 
JK, Magufuli hata wakilipa watu hawawezi wasafishia barabara
 
Aiseeee jamani upendo wa dhati aujifichi kwel hayo mahaba lowassa watanzania wana imani ww
 
NB:Ccm sio malofa,wana akili timamu ya kutafakari na kuchanganua sera!

Kuchanganua Sera za kupiga push up, kuruka kichura na kurukaruka jukwaani? Umechemka ndugu ndani ya CCM hakuna mwenye akili kwa sasa
 
Back
Top Bottom