desert girl
Member
- Jul 11, 2015
- 19
- 5
Wana wa tarime big up
Tupo pamoja mwaka huu masisiem yatanyooka tu yapishe rais wetu apite yasituletee uck
Tupo pamoja mwaka huu masisiem yatanyooka tu yapishe rais wetu apite yasituletee uck
hawa wanaweza kunipa majibu ya kweli. Lizabon na Faizafoxy hivi hawa vijana sio Guinea hapo?
Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo...
Hawakawii kusema hapa ni Senegal
View attachment 297256View attachment 297257View attachment 297258View attachment 297259
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...
Kesho ni balaa...
Tunachaji ma camera tu hapa..
Sijawahi ona wala kusikia ya namna hii.!!
Magufuli hawezi kukubali udhalilishwaji na upuuzi kama huu unaofanywa na hawa vijana. Haya maigizo yana mwisho wake. #HapaKaziTuHao ni wahuni wa wapi?
Magufuli hawezi kukubali udhalilishwaji na upuuzi kama huu unaofanywa na hawa vijana. Haya maigizo yana mwisho wake. #HapaKaziTu
Uwiiiiiiii wakurya mmetisha sanaaaa!
Mmempokea rais wetu kwa style ya aina yake!
Hongereni,ngoja na sisi huku Dar tujipange na sie tumpokee kivingine kwenye kufunga kampeni October 24.