Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo...
Hawakawii kusema hapa ni Senegal
View attachment 297256View attachment 297257View attachment 297258View attachment 297259
hata huruma hawana!! wamelikoroga sasa wanataka mkurugenzi wa tanesco alinywe. Gesi wamegawa sharia ya gesi wakasaini haraka haraka, tunataka mikataba yote ipitiwe upya, irekebishwa kwa vigezo vinavyokuballika kimataifa kama wamekula pesa za wamerikani na wachina basi wamuachie Lowassa afanye hiyo kaziSijui Kasuku wao atakariri aliyo yasema Simbachawene kwamba GESI sio yetu ni ya mwekezaji binafsi!!!??? Halafu atambe tena kwamba atawafukuza viongozi wote wa TANESCO, huku akijua kwamba Mkurugenzi wa TANESCO anahaha kusaka fedha za kulipia GESI ya watu ili tusilale giza wiki ijayo!!!
Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo...
Hawakawii kusema hapa ni Senegal
View attachment 297256View attachment 297257View attachment 297258View attachment 297259
Uwiiiiiiii wakurya mmetisha sanaaaa!
Mmempokea rais wetu kwa style ya aina yake!
Hongereni,ngoja na sisi huku Dar tujipange na sie tumpokee kivingine kwenye kufunga kampeni October 24.
suala la usafi ni la lazima .Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...