Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

assume baba ako au kaka ako ni miongoni mwa wanaodeki barabara
 
Magufuli kupiga Push up kaonekana hana akili,lakini leo watu wanapiga deki kwenye barabara wanaonekana wamefanya kitu cha maana kabisa.

Yani tusio na huu ushabiki tunajione vituko vingi mwaka huu.
 
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...
Kama ni wanywa viroba na darasa la nne failure ni nani aliyewafikisha hapo? Kwa nini wafeli darasa la nne waishie kwenye viroba? Labda ni ukosefu wa elimu bora, uhaba wa vitabu, madawati, walimu kutokuingia darasani, yote haya yamechangia elimu duni. Ni nani aliyesababisha haya kama siyo chama tawala? Wameshindwa kuweka elimu iwe kipaumbele matokeo yake vijana hawana pa kukimbilia. Yote haya yanachangia watu kutaka MABADILIKO
 
Magufuli kupiga Push up kaonekana hana akili,lakini leo watu wanapiga deki kwenye barabara wanaonekana wamefanya kitu cha maana kabisa.

Yani tusio na huu ushabiki tunajione vituko vingi mwaka huu.
Kupiga push ups kwa Magufuli ni mazoezi, lakini kupiga deki ili "mkubwa" apite ni akili ya kitumwa na udhalilishaji wa hali ya juu. Hawa Chadema (waliojificha nyuma ya Ukawa) watawakomboaje watanzania toka kwa mkoloni mweusi wakati wao wenyewe wanafurahia vitendo vya kibwanyenye kama hivi mwaka 2015? Halafu Mkapa akiwaita malofa na wapumbavu wanaanza kupiga mayowe, oh tumetukanwa.

Ni kweli tusio na huu ushabiki tunajionea vituko vingi mwaka huu.
 
Kuna mil 37 alizoiba fisadi zilishatangulizwa hapo na watu washazigawana gawana tayari. but end of the day kura ni kwa magufuli
 
Tatizo hao viongozi wenyewe wa kisiasa karibu wote wao hutanguliza masilahi yao binafsi mbele,tena wengine hudanganya ni matakwa ya wananchi. Na hao wananchi wenyewe pia wamekazana kushabikia tu,mie sionagi tofauti ya wanaoshabikia chama tawala wala upinzani.
 
assume baba ako au kaka ako ni miongoni mwa wanaodeki barabara
Halafu huu mchezo wa kuigiza kwa nini Chadema hawataki kuufanyia huko "kwao" Kilimanjaro? Utasikia wanakuambia huko watu wameamka. Kwa kweli huu upuuzi hawa jamaa wa Ukawa kama wangekuwa na akili timamu wasingeufurahia hata kidogo. Lakini ipo siku.
 
Kama kweli ni vijana wa Musoma basi Musoma ni wajinga sana !!! Watajuta kutumiwa na wachagadema
 
Halafu huu mchezo wa kuigiza kwa nini Chadema hawataki kuufanyia huko "kwao" Kilimanjaro? Utasikia wanakuambia huko watu wameamka. Kwa kweli huu upuuzi hawa jamaa wa Ukawa kama wangekuwa na akili timamu wasingeufurahia hata kidogo. Lakini ipo siku.
Ungekuwa na akili timamu usingeandika hayo. Down's Syndrome
 
Tatizo hao viongozi wenyewe wa kisiasa karibu wote wao hutanguliza masilahi yao binafsi mbele,tena wengine hudanganya ni matakwa ya wananchi. Na hao wananchi wenyewe pia wamekazana kushabikia tu,mie sionagi tofauti ya wanaoshabikia chama tawala wala upinzani.

Endelea kusikiliza uhuru fm na soma gazeti la uhuru utaelewa tu
 
Mwanasiasa ukipendwa hivi na wananchi wala huitaji kutumia fedha nyingi kukodi wasanii.
 
Back
Top Bottom