Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Wananchi Mara wapiga deki barabara Lowassa apite

Ccm watasema picha za kutengeneza watasema hizo picha ni wakati obama anataka kuja.
 
Mpaka naona AIBU.Yaani watu wa MARA ndo wamefikia hatua hiyo.Nadhani watu wa KLM,ARUSHA na MONDULI hawawezi kumfanyia hivi mgombea yeyote kutoka sehemu yoyote ile.Mara siku hizi ni kama kuna mataahira wengi sana...

Kwaio obama akidekiwa barabara sio mataahira ila mbongo mwenzetu akidekiwa ndio mataahira??? Wewe ndio utakua taariha hadi wanakunyosso.
 
Naona picha ya mateja wanne sijui watano 'wakifagia' eneo moja.

Wamechoka uteja wanataka mabadiliko ndio maana wamefanya hivyo. Wakichagua ccm wataendelea kuwa mateja na kukata tamaa maisha yao yote. Tafakari!
 
Yani wanaofagia barabara wanaonekana kabisa ni wanywa viroba....wanaonesha ni darasa la nne failure...

Kama unasema kweli vile? Lakini umejiuliza wamefikiaje hapo? Kuishia darasa nne na kuwa wanywa viroba na umesahau moja, hawana ajira. Hiyo imechangiwa na serikali dhalimu ya FISIEM. Wamestuka waliposikia mkombozi kaja wakaamua kujituma. VIVA CHANGES.!!!!!
 
Huo ni ushamba,kuchanganyikiwa au kulata tamaa? Au kweli hawa vijana wamelewa viroba?

wewe ni kilaza kweli mbona Obama alivyokuja bongo barabara zilipigwa deki ?

hii ni ishara mbaya kwa chama twawala!
 
Usiseme watu. Angalia na sura zao kwanza then ndo utapata majibu. sura za wanywa viloba ngongo wahuni na vibaka sio watu hao
 
Tatizo hao viongozi wenyewe wa kisiasa karibu wote wao hutanguliza masilahi yao binafsi mbele,tena wengine hudanganya ni matakwa ya wananchi. Na hao wananchi wenyewe pia wamekazana kushabikia tu,mie sionagi tofauti ya wanaoshabikia chama tawala wala upinzani.

Mwaka 2005 walimshabikia sana jk ila sasa hivi ndio wamejua kuwa walifanya makosa makubwa sana.
 
Kwaio obama akidekiwa barabara sio mataahira ila mbongo mwenzetu akidekiwa ndio mataahira??? Wewe ndio utakua taariha hadi wanakunyosso.

Hao mataahira ndo zao la chadema, na chadema itawafanya vibaya na hiyo ni mwanzo tu na je wakiingia madarakani si ndo mtakoma. Siku zote ukiingia kwenye hivi vyama bila kujua ndo faida zake hizo, ccm hawana ujinga huo na ndo maana chadema waliamua Arusha uwe mji wa vurugu na kweli wamefanikiwa sana kwa miaka5 lakini hakuna faida waloipata kutokana na ujinga huo, alafu wanasingizia serikali.
 
Serikali ya Tanzania ni ya kitumwa au sio? Rejea ziara ya Obama, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Meya wa Jiji ndio waliosimamia zoezi la kudeki barabara za Jiji hilo tena kwa gharama kubwa tu! Yale maji waliyotumia si wangewapelekea wananchi wenye shida ya maji.
Umeamua kujitoa akili sio?
 
Dr Slaa sijui ana hali gani anapoona haya yanayotokea Musoma. Bora Lipumba kacheza deal kapiga kimya. Huwezi kuzuia majira kabisa.. Watu walishapigika hawataki tena mzaha. Dr alijitahidi sana kuzuia mabadiliko ila raia walimuambia Dr umechelewa sana. Sasa hivi wamempuuza na kuishusha heshima aliyokuwa nayo... Hakuna anayeweza kuzuia mvua
 

Attachments

  • 1444553875542.jpg
    1444553875542.jpg
    22.2 KB · Views: 747
  • 1444553886158.jpg
    1444553886158.jpg
    18.7 KB · Views: 661
  • 1444553898825.jpg
    1444553898825.jpg
    15.8 KB · Views: 644
Dr Slaa sijui ana hali gani anapoona haya yanayotokea Musoma. Bora Lipumba kacheza deal kapiga kimya. Huwezi kuzuia majira kabisa.. Watu walishapigika hawataki tena mzaha. Dr alijitahidi sana kuzuia mabadiliko ila raia walimuambia Dr umechelewa sana. Sasa hivi wamempuuza na kuishusha heshima aliyokuwa nayo... Hakuna anayeweza kuzuia mvua


Hilo linafahamika japo vijana wa IT pale Masaki wameanza kutokwa na mapovu
 
Mwaka huu ccm lazima zile no wazisome wao ss hapa tunampakura lowasa
 
Back
Top Bottom