Dr. Slaa alihama upadre kwa jili y Lowasa?
Dr. Slaa alihama CCM to Chadema kwajili ya Lowasa?
Dr. Slaa alimkacha mkewe wa ndoa na wanae, alimkimbia Lowasa na huko?
Slaa alisema anaacha siasa, anaenda kupumzika nje na kusoma......huko nje masomo yameisha?.......kaacha siasa?
SLAA HAFAI KUMINIWA TENA!