Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
Kwa sasa yupo busekera
Ndo wapi huko mkuu? au ndo jina jipya la musoma
Kwa sasa yupo busekera
Umezizima kwa watu kufunga maduka wakihofia kuibiwa na vibaka wanaojitokeza kuonesha kuwa na wao ni wanachama na wanahitaji ukombozi kumbe kwao ni fursa ya kujipatia riziki lakini hakuna watu kama picha ndo ulizoonesha.
Mkuu una uhakika hizo ndo picha za huko?msije umbuka kama yale ya guinea??kuwa makini!Hapa wakimsubri kwa mapokezi
Mungu akubariki,mwaka huu sisi hatutukani
Mkuu mwezi huu ni mwezi wa majilio ya Lowassa, Mimi nipo kwenye toba tokea tarehe 1 October ili kumwombea Mh. Lowassa na Watanzania wote kwa ujumla hasa wale wenye kupenda na kutamani kuyaona Mabadiliko ya kweli ili nguvu za shetani zisiweze kupata nafasi. Tuendelee kuwakemea WATESI wetu huku tukimtanguliza Mungu. UKAWA imeanza na MUNGU na itamaliza na MUNGU.
Ahsante baba mchungaji, wakupe nini castle au tusker?
watu wa musoma wamkalibisha kwa kudeki barabara ili apite bila kukanyaga vumbi