barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
daaah mkuu umenitoa chozi hawa jamaa wakali kwanza joslin,mac kamua very sad hawakustaili kapu.
roma aache kuimba vichwa vya habari...halafu apunguze sauti kidogo kwenye rap zake kwani ni kelele
kala jeremiah si mkali sana lakini ile kitu dear GOD ni bonge la goma lililowahi kurekodiwa duniani...aliyeiponda akasikilize tena.
Your right
So umetufunza nini?
sheta kila wibo yeye anaimba 'shededeshedede' basi
ndo kawa star hapo tayari
Nimekusoma kaka, wadau wengi sana wamenipinga juu ya vanesa a.k.a vee money kuwa katka hii list, nakubaliana na 'construction' critisims thenu.
lady jaydee sijui anatumia nini kuushawishi uma wa watz kuwa ni legendary...nilipenda collabo zake tu na kina FA,Kiba,Prof j nk akisimama mwenyewe ni yiii...iiii...iiiii ni majanga.
Muongezee na Rama dee jamaa habani.pua ana R.N.B halisi sio wakina ben paulo
kama miezi miwili ametoa ngoma inaitwa "hip hop is alive", choras kasmama q chief, ipo fresh ila inakosa airtime.
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.
Me sijui huyu jamaa amefikiria nini kusema vanessa amehit kimagumashi
Sio bongo tu hivi Ziggy D yuko wapi sikuiz au ana hit Uganda tu... sio kama enzi zile
7.KALA JERIMIAH huyu nae sielewi anatembelea nyota gani? hata ile ngoma ya dear GOD ni beat tu ya dee classic ndo
iliyom beba ..hata hii ngoma aliyoitambulisha juzi 'simu ya mbali' km sikosei ni kaama dear GOD na yale ma vina yake!!!
ni kweli wakali wanatisha, mi inaniuma kuwakosa mandoyo na domokaya hawa jamaa wako vizuri saana,
aaah! Dah! Mazee, Man Doyo na Domokaya, walikuwa na staili yao pekee! Nawamiss sana hawa. Kile kitu chao, ....baba mbona ukanikimbiaaaa aaah..... Maisha magumu ndo yalomchocheaaaaa......! Namiss old school mbaya!!
Jide hana voko, banana na Ditto ni killers, wako poa!! Banana akiimba, unasikia kabisa sauti yake inavyopita ktk koromea lake bila kipingamizi. Ditto kiumbe mwingine huyo!