Wananamziki Walio 'Hit' Kimagumashi

true mkuu wengi tunaumia sana tunapowasikia wazugaji kila siku, wakali kwanza watarudi tu maana ni wakali sana.

ni kweli wakali wanatisha, mi inaniuma kuwakosa mandoyo na domokaya hawa jamaa wako vizuri saana,
 
kuna mdau mmoja amedai grace hatoki nje ya mic, yani akishamalza kurekod mziki mzuri anatulia anasubiri raia tutafute nymbo zake. Hana ule uwezo au ufundi wa kina vanesa wa kupiga fitna ya kutosha hadi unakuwa star kinguvunguvu.

yep grace anajua saana,kuna ngoma yake moja niliisikia daah we acha
 
Banana hana kitu....JIDE kidogo japo anaiga sana wasouth (Kwaito). narudia wasanii wote wa Bongo fleva ni wasanii tu na si wanamuziki. Waweza kuwaita wana magumashi.

hapana banana na jide wanajua, umesikia ngoma ya jide na ngoni wa uganda, pia mandojo na domokaya wanajua saana
 
Nimesema Jide kidogo...Niambie Banana ana nini, sauti yake si nzuri na nyimbo zake hazina maana. Nitajie wimbo wowote wa Banana ambao ni mzuri. Bora angekopi tu nyimbo za baba yake wakati akiwa Kimulimuli ila si hizi anazotunga yeye.

anakudanganya huyo, banana na masika
 
5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote
We jamaa wa zamani kishenzi! Hadi leo bado unaamini kwamba Diamond alikuwa anatembelea nyota ya Wema? Hebu nijuze umaarufu wa Zari kabla na baada ya kuwa na Diamond kisha utapata jibu mwenyewe uone ikiwa Diamond anahitaji nyota ya yeyote au atakayekuwa na Diamond ni lazima a-shine!
 

Hata wewe leo ukibahatisha hata na shilole nyota yako itapanda tu. Ndio maana sie wa kitaa hatupend michepuko staa ya nini kila cku magazetini
 
Mtakaa kujadili mafanikio ya watu yakwenu hamyaoni na hatuyasikii..
Fanya kazi ujadiliwe ww
 

Ally Kiba
 

Diamond sasa ndio anatembelea Nyota ya Zari,
Hajawahi kuwika akiwa alone!!
We unaeona kama Umaarufu wa Zai umeongezeka sababu ya Diamond ni sababu umeanza kumjua Zari baada ya kua na Diamond, but huyu bibie alikua na Jina lake kitambo tu.
 
Nyie wakuu nimewakubali saaana kwamba ni ma-GT, yani mna-argue na kukubaliana na facts za kila mmoja wenu!

Mkuu GP ndivyo inavyotakiwa, sio mtu unabisha tu hata kwenye ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Me sijui huyu jamaa amefikiria nini kusema vanessa amehit kimagumashi
 
So umetufunza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…