Kwa sheta umepatia sana ana fleva flani na hajaiga mtu..dogo anajua pia kucheza na biti na hicho ni kipaji ambacho miaka yote gk ameshindwa... kuna mtu anaitwa flesh p aliimba tina tina na kibla huyu kabahatisha.. na yule aliyeimba mwanamkiwa fetous nae ndio hao hao.alicom nae ndio hao hao.samahani vijana wa siku hizi mi wa kitambo kidogo. Nimemkumbuka snoop lee na taqwa vijana wa ilala.na wale vijana wa manzese wa kula kona? Snea wa ect.kaka man?..hivi luteni wa gangwe aliwa
Sheta nimemsikia kwenye kerewa na Basi njo Kkoo ya Abbyskills akiwa na Allykiba huchoki kukasikiliza haka ka dogo ni kweli usanii unatofautiana kuna wakali wa vina, sauti, na wengine marketing zinawabeba.
Kweli umekumbuka kitambo, K sal sijui aliishia wapi huyu dogo wimbo mmoja tu akatokomea!!
Kulikuwa makundi pia BDP 'Big Dog Pause' nao hawa walitoa nyimbo mbili wakapotea mazimaa.
University corner wazee wa t shirt na jinzi hahahaaa!! Huu wimbo ulisababisha wakawapanda sana dada zetu mtaani wakikatiza tu hatuna amani.
Joint Mob, waliimba siku ya hukumu ft Babuuu!! Nao songi hilo hilo hawakutoka tena
Kuna wale madogo walimjibu Mwana FA wimbo wake wa ingekuwa vipi wao wakasema ingekuwa poa!! Jina lao limenitoka kidogo
Kweli umekumbuka kitambo, K sal sijui aliishia wapi huyu dogo wimbo mmoja tu akatokomea!!
Kulikuwa makundi pia BDP 'Big Dog Pause' nao hawa walitoa nyimbo mbili wakapotea mazimaa.
University corner wazee wa t shirt na jinzi hahahaaa!! Huu wimbo ulisababisha wakawapanda sana dada zetu mtaani wakikatiza tu hatuna amani.
Joint Mob, waliimba siku ya hukumu ft Babuuu!! Nao songi hilo hilo hawakutoka tena
Kuna wale madogo walimjibu Mwana FA wimbo wake wa ingekuwa vipi wao wakasema ingekuwa poa!! Jina lao limenitoka kidogo
Daaaah.. We Kweli Ni Old Skul.
Unataka kusema bongo fleva wote magumashi? Au kuna baadhi mafundi?
Wote magumashi....wewe niambie nani mwanamuziki wa kweli pale? Jibu, hakuna.
sheta kila wibo yeye anaimba 'shededeshedede' basi
ndo kawa star hapo tayari
Kelvin complex hata mi huwa nikiangalia macho ya pipi ananiacha hoi (just kidding)
Tukirudi katka point, kinachoniumiza ni kuona wanamuziki 'waliozaliwa' na vipaji vyao wakiwekwa kapuni na media zetu, hawa wa darasani, mazali, wakipewa airtime. Mifano Michache.
1. Grace Matata. Kibongo bongo ni demu gani unaweza msimamisha na Grace katka kuimba? Jibu ni hakuna. Huyu yuko km 10,000 mbele ya kina recho.
2. Vumilia. Huyu alianza vyema sana pindi alpokua THT, bada ya kuondoka pale, jamaa wakamfanyia fitina mpaka leo amebakia kuimba katka mahoteli tu. Huruma.
3. Nuruely. Waimbaji wote wa RnB wa kiume ukiwauliza, mwanamzki gani wanayemkubali jibu lao ni moja tu Nuruely. Anaweza akawa na matatzo binafsi, ila tunahtaji watu kama yeye na si kila siku kina Bonge La Nyau.
Talent kama hizi ndo zinatakiwa kuzisikia katka media zetu, na si 'fabricated' artist. Kupitia hao 'in born' artist mziki wetu unaweza hata ukakua.
Hapo umebugi,alaf inaelekea una chuki binafsi na mshikaji..
Unamansha ile mistar n mibaya kwahyo biti ndo imembeba.?
Una maanisha Wimbo wa taifa nao ni mbya.?
Una maansha Miss Ug nao ni mbaya.?
Nahisi jamaa amekugongea demu wako sio bure..
Wote magumashi....wewe niambie nani mwanamuziki wa kweli pale? Jibu, hakuna.
Vipi kuhusu OCG wa Aqwelina, Rado, Dudubaya, Hot Pot Family na Mack Dee?
mhh, mhhh uhuru wa kuongea5. DIAMOND.
huyu nae ashukuru mganga wake yule ndo aliemtoa na pia kutembelea nyota ya wema la sivyo tungekua nae hapa Tandale kwa Mtogole tunakaba wote
Hata Juma Nature? Magoma kama "sitaki demu" "ubinadamu kazi" "sonia" "ndege tunduni" "inauma sana", ukiyasikiliza hata sasa hivi huwa hutikisi kichwa?
Banana Zorro, Jay Dee, Lameck Ditto
Kweli we Jamaa Ni Mbishi.
Nimesema Jide kidogo...Niambie Banana ana nini, sauti yake si nzuri na nyimbo zake hazina maana. Nitajie wimbo wowote wa Banana ambao ni mzuri. Bora angekopi tu nyimbo za baba yake wakati akiwa Kimulimuli ila si hizi anazotunga yeye.
7.KALA JERIMIAH huyu nae sielewi anatembelea nyota gani? hata ile ngoma ya dear GOD ni beat tu ya dee classic ndo
iliyom beba ..hata hii ngoma aliyoitambulisha juzi 'simu ya mbali' km sikosei ni kaama dear GOD na yale ma vina yake!!!