Wanakwaya wa kike muwe na adabu na nguo mnazopanda nazo madhabahuni kuimba mweh

Na nyie mmezidi .
Dada wa watu kapendeza.
Hayuko uchi, matiti wala sehemu za juu za mwili hazionekani. Mapaja hayaonekani ni miguu tu na mikono inayoonekana.

Acha kufikiria na kichwa Cha chini masaa yote.
Utajiingiza kwenye matatizo ndugu.
tatzo miguu yake ni mizuri yenye kuvutia tena imekaa kisexsexsexsex to infinity....
 
Tatizo la wakazi wa mbeya kila mtu kafungua kanisa lake hivyo pastor anaogopa kukemea wateja watamkimbia.
 
Sikutengemea kama mleta thread ningemdharau kiasi hiki

Yaani unaanzisha thread kama hii yenye picha nzuri kama hii halafu hujaweka number zake plc edit na uweke number tafadhali
Mkuu nisamehe. Mimi nilihudhuria tu semina hapo ni ukumbi wa semina na sikudaka jina lake kirahisi
 
Jamani, mwacheni dada wa watu amtumikie Mungu... Kwa muonekano wake huo, anaweza akawa kivutio cha kuwavuta watu wengi zaidi wapende kumtumikia Mungu kwa nyuso za furaha...
Wewe unataka apambaike kama kwaya ya Bhulyankulu za miaka ya tisini?
 
18e290ca70e31a5c302f82049bf7f8b3.jpg
Biblia inasema miili yetu ni hekalu LA roho mtakatifu,hii inamaanisha ndani ya hekalu ( mwili) kuna madhabahu ya BWANA kwa mantiki inatupasa tuvae nguo za staha wakati wote bila kujali unaenda sehemu gani ili tuwe kieelezo kwao wasio amino.
Mkuu nisamehe. Mimi nilihudhuria tu semina hapo ni ukumbi wa semina na sikudaka jina lake kirahisi
 
Sikutengemea kama mleta thread ningemdharau kiasi hiki

Yaani unaanzisha thread kama hii yenye picha nzuri kama hii halafu hujaweka number zake plc edit na uweke number tafadhali
MCHUNGAJI KAOGOPA WEKA NAMBA ZA MWANAKWAYA WAKE KWANI HUMU NDANI KUNA MAJAMBAZI...
 
Back
Top Bottom