Nimeathiriwa na midoli ya kike ile ya kuuzia nguo

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Saikolojia yangu na hisia zangu naona zinanielekeza pabaya, yapata miezi mitatu sasa naona hali yangu ya kisaikolojia na kihisia inaelekea kwenye midoli sijui nini cha kufanya.

Ndugu , mimi ni kijana ila nina wanawake kadhaa wa kuwanyandua japo takribani miezi mitatu hihi sasa kila nikikatiza mijini ,masokoni , mtaa kwa mtaa na kukutana na ile midoli ya kike inayo valishwa nguo za ndani za kike kwa kweli moyo wangu una dunda sana kiasi cha kupelekea kupata hisia za kufanya mapenzi,

Ndugu nikikatiza na kuonana nayo jinsi ilivyo valia nguo za ndani za kike hasa hasa pale kati kati na kwenye kiuno na huku kwenye pindo la mapaja yanguo zinavyo ishia za kike akili inawehuka na kuanza kutamani kuingilia mwanamke na mbaya sana nikiitizama kwa muda mrefu wakati mwingine uume wangu unasimama ndii.

Nimejaribu kukwepesha macho nisionane nayo ila bado na kutana nayo wakuu, ndugu nimejiombea mwenyewe lakini bado hii hali hainitoki kabisa akilini yani kuna muda nikikaa hivi imagination zake zinaanza nitokea wakuu.

Kweli sijui nimekosea wapi naombeni msaada wa haraka ndugu zangu maana hii hali siyo ya kawaida wakuu..

Asanten
 
Unahitaji maombi mkuu
 
bado hujasema

IMG_20231017_133935.jpg
 
Back
Top Bottom