Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo Kariakoo

Tafuta wa kiume tu. Achana na mabinti, Wana mashauzi Kazini. Mauzo huwa yanashuka kutokana na lugha ya kuudhi wanayopetoa mabinti kwa wateja
Sijui ni kwa nini hili tatizo lipo sana Tanzania hasa duka likiwa lina bidhaa hot na nzuri. Nchi nyingine wanawake ndiyo wahudumu wenye kauli na huduma nzuri kuliko hata wanaume. Hapa kwetu ukikuta huyo dada ana undugu na mwenye duka au ni demu yake ndiyo balaa zaidi.. au kuna wateja wanaume wenye fedha nyingi wamezoea kuhudumiwa hapo na wewe fedha yako ni ya kuokoteza...
 
Ni kwa sababu mabinti wa Tanzania wamezoea kupata hela bila kupenga jasho(kuhongwa/offer), tofauti na mabinti wa Mataifa mengine ambao wanakuzwa katika misingi ya utafutaji kihalali tangu utotoni.

Binafsi nishaacha kununua bidhaa kwenye maduka/maeneo yanayosimamiwa na mabinti/ wanawake warembo kwa sababu najua watanitibua tu.

Kulingana na nature ya kazi yangu huwa navaa kawaida Sana, Sasa wao huwa wana tabia ya kumkadiria mtu kulingana na muonekano wa nje(mavazi).

Unaingia dukani unamsalimia jitu linakujibu "unataka nini? " Huku anakupandisha na kukushusha, huku anatafuna big G.

Ukimuuliza sukari unauzaje nayeye anakuuliza "unaulizia kiasi gani?" Wakati alipaswa kukujibu tu kilo moja ni bei fulani nk.
 
Nadhani uko sahihi kabisa. Wanakera kweli kweli na hata mimi huwa nawakwepa.
 
Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo kariakoo mtaa wa Kongo na Aggrey.

Sifa awe na elimu kuanzia 4m4

Mdhamini awe nae

Kwa anaehitaji nicheki inbox
Habari nilikua nahitaji hiyo nafasi na vigezo ninavyo shida nashindwa kukutafuta PM na ni tatizo kitambo kidogo....namba yangu ni hii 0764911063 Kama itakupendeza naomba nitafute
 
Nadhani uko sahihi kabisa. Wanakera kweli kweli na hata mimi huwa nawakwepa.
Mungu akinisaidia niwe kwenye position ya kuajiri Vijana, siajiri binti hata mmoja. Nitaajiri wanaume tupu kwa sababu ni full time available, dependable na wanajua wanachokifanya wala hawana mashauzi kazini.

Mabinti Ni washenzi sana kazini. Biashara nyingi zinakufa kwa sababu ya hao mabinti wanaoajiriwa na kusahau kazi na kuleta mashauzi kazini
 
Na Mungu hawezi kukusaidia kuwa kwenye position ya kuajiri maana roho yako mbaya.
 
Ni kwa sababu mabinti wa Tanzania wamezoea kupata hela bila kupenga jasho(kuhongwa/offer), tofauti na mabinti wa Mataifa mengine ambao wanakuzwa katika misingi ya utafutaji kihalali tangu utotoni.

Binafsi nishaacha kununua bidhaa kwenye maduka/maeneo yanayosimamiwa na mabinti/ wanawake warembo kwa sababu najua watanitibua tu.

Kulingana na nature ya kazi yangu huwa navaa kawaida Sana, Sasa wao huwa wana tabia ya kumkadiria mtu kulingana na muonekano wa nje(mavazi).

Unaingia dukani unamsalimia jitu linakujibu "unataka nini? " Huku anakupandisha na kukushusha, huku anatafuna big G.

Ukimuuliza sukari unauzaje nayeye anakuuliza "unaulizia kiasi gani?" Wakati alipaswa kukujibu tu kilo moja ni bei fulani nk.
Kuna siku niliingia duka moja la unyunyu pale post...nikakuta kasichana kanatafuna bigG huku anachat...hana habari...nikafika na ilikuwa asubuhi tu..nikauliza unyunyu Gani mzuri anao...Kwa mashauzi..ananiuliza we ukitaka upi nikajibu huku macho yake yote Yako kwenye simu...akanaimabia hakuna...nikamwambia sawa ila we ni muuzaji..mbona hunielezi kati ya unyunyu ulizonazo zipi zinaweza kuwa mbadala..kakanikenjulia mdomo..nikamwambia kuwa na asubuhi njema.
 
Wewe umenielewa mkuu. ntazana ntazana anadai nina roho mbaya. Tena wewe umejitahidi ku maintain positive attitude, mimi ningemtukana. Sipendagi utoto
 
Ni kwa sababu mabinti wa Tanzania wamezoea kupata hela bila kupenga jasho(kuhongwa/offer), tofauti na mabinti wa Mataifa mengine ambao wanakuzwa katika misingi ya utafutaji kihalali tangu utotoni.

Binafsi nishaacha kununua bidhaa kwenye maduka/maeneo yanayosimamiwa na mabinti/ wanawake warembo kwa sababu najua watanitibua tu.

Kulingana na nature ya kazi yangu huwa navaa kawaida Sana, Sasa wao huwa wana tabia ya kumkadiria mtu kulingana na muonekano wa nje(mavazi).

Unaingia dukani unamsalimia jitu linakujibu "unataka nini? " Huku anakupandisha na kukushusha, huku anatafuna big G.

Ukimuuliza sukari unauzaje nayeye anakuuliza "unaulizia kiasi gani?" Wakati alipaswa kukujibu tu kilo moja ni bei fulani nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom