WanaJITEUTE MPO kwa JF?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJITEUTE MPO kwa JF?!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by senator, Sep 15, 2010.

 1. senator

  senator JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kwa wale waliosoma Jitegemee Sec School (chini ya uongozi wa Massawe) enzi hizo za kutokea kuanzishwa kwake mpaka sasa watakuwa na mengi ya kuzungumza.
  Kwa kuanzia kuna walimu Walikuwa wanasifa za hatari kwenye kuchapa viboko..hii shule ilikuwa nusu walimu wajeshi na wengine raia mambo mengi yalikuwa kijeshijeshi tu..Kwata kwa kwenda mbele....
  Kuna Mwalimu alikuwa akiitwa WAJADI(sijui kama bado yupo)..huyu baba nilimnyooshea mikono kwenye bakora! Mwalimu Sabini..Bashaka..bakuza na kibaraka Francis Ndeha..hawa walikuwa ni maservice wa JKT baadae wakawa walimu..walichezea sana ****** ya wanafunzi kwa bakora.Wanajiteute wataongea zaidi kama mpo tukumbuke tulipotoka..:A S-danger:
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  JItegemee secondary school I love you Jitegemee secondary school I praise you I respect youuuu just because I benefit the opportunities offered to me This school belongs to me This school belongs to you This school belongs to us I have to share the spirit of my school.
  God bless all of my school teachers and servants God bless my parents and their duties ,may god bless JKT with her firms to live in peace is our motto let us god bless This school belongs to me This school belongs to you This school belongs to us I have to share the spirit of my school.
  Haya mkubwa senator nimekupa wimbo wa shule kama ulivyo nilikuwa pale V&VI combination HGE mwaka 1994-1996tusubirie wengine
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh naukumbuka sana huo wimbo by that time nilikuwa nimetoka wakati ww unaingia hapo ..ila namkumbuka Amina Mcharazo nadhan alikuwa dada mkuu.Nimeuimba sana huo wimbo nadhan ulitungwa 1993 hvi..ulikuwa unaimbwa kwa vitendo hapo kwenye hiyo chorus..(unaonesha mkono kwa kuweka moyoni( belongs to me) then unamshika mwenzako begani(to you) and unamalizia kwa ukitawanya (to us)
  ..This school belongs to me
  ..this school belongs to you
  this school belongs to us, i have to share the spirit of my xkul
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Huyo sikumkuta wakati wangu head boy alikuwa Grey Matambalya
   
 5. senator

  senator JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hata huyu namkumbuka alikuwa anakaa mitaa ya keko nadhan au bora ..afu alikuwa amezoea kunyoa nywele ili kuficha kipara kilichokua kinamjongea.Basi Amina alikuwa kabla ya Grey
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Yap ndio miaka yangu hiyo nakumbuka tulikuwa na the best basketball team mkoa wote wa Dar na hata tulivyokwenda Morogoro 1995 umisseta Taifa ushindi ulikuwa wetu sitawasahau Eric,Aluta,na Stranger ila jamaa Stranger siku moja nashuka Airport tu nimerudi likizo namkuta ni teja ananiomba mia duh nilisikitika kweli nikamwachia euro 5 sijui hata kama alijua kuchange maana sikuwa na home currency lakini ndio maisha ukicheza kidogo umepotea
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Msisahau kumpigia kura za YES msomi mwenzenu , mkombozi wa Taifa hili, Doct. Slaa
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  :becky::becky::becky::becky:Mfamaji binafsi ninatamani sana kumpigia kura lakini service hiyo sidhani kama imeshafika kwenye Embassies zetu ila kama ipo tutajitahidi kuongeza mtaji wake maana tumechoka na kusikia mara tawi la CCM Reading mara sijui Bangalore mara wapi wizi mtupu na kujipendekeza kwa mafisadi
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  We acha tu JITEUTE mazee namkumbuka Mr Mosha wa BOOK KEEPING akitaka kukupa bakora ukisema eti nimechomwa Sindano anachora ****** then analine mahala atakapopiga,mitaa ya Loliondo,Vijana hall,sanga hall,taifa B we acha bwana,pia nakumbuka siku za jumatano Usafi day,Mnamkumbuka afande tall na kihimbi?anaanzisha vagi ili ukimbie wakukimbize huku wakipiga makelele ya kamata huyoooo...Mzee wa kipara Bwenge mnampata Displine master?Barsa Ndeha,Massawe,Mkisi akaja kuwa head master,Kuna konda mmoja wa daladala alimshika makalio dada mmoja issue ni kuwa yule ss alikuwa amechelewa school sasa kageuzia konda mkanda,konda alisubiriwa alipokuja akapelekwa kale kabwawa WANAJITE mnakajua,akaambiwa azame sasa kaua samaki hehe,afande Kihimbi karopoka kamuu yule mama wa samaki woteeeeeeeee ALIKOMA huyo konda haha...
   
 10. senator

  senator JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Umenikumbusha huyu bwana alikuwa anaitwa bwenge yaani kuna siku tulipeana nae mtiti hata nisahau na u sir major wake!! Alikuwa na mwanae mmoja akiitwa shimimana bwenge yaani akili kama baba yake tu....Hivi huyo mosha bado yupo? jina kama nalikumbuka ila nilisikia habar flani zake sijui kama bado yupo pale..Jiteute ntaikumbuka sana NGAJUA(RIP) chapati kwake na supu mie member..Midodi(RIP) aliwahi kwenda mess na taulo tu..mama lyimo(RIP) huyu Bios ilikuwa imelala kumkichwa..Mteta ..mama Clara alinijuza vyema siku za wakina dada zinakuwaje yaani ukigonga dume ukichelewa jike dah Jiteute weee kama popooo
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mambo ya uwanja wa damu acha hiyo kitu wakati wa Gwaride,Mosha alikuwa nasoma nadhani IFM sijui kama kamaliza,unamkumbuka teacher mwembamba Kaboka mchizi?yule nani alivuliwa nyota na masawe akawa anatangaza assembly "kumamake ****** wenu kaninyanganya nyota yangu haha",Kina Njenje alihama Jiteute,Mama Nani yule wa Kulipia Uwanja wa wanawake?alikuwa anachangisha hela za always nakumbuka alimchangisha Gerald Gay na kale kengine jina limenitoka...we acha JiteUte...usinikumbushe mazee pale ni soo..kuna afande alikuwa na matege hivi alipigwa Finga matakoni mtu akakimbia sasa msako wake acha duh....
   
 12. senator

  senator JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Yule mama aliyekuwa anachangisha hela za alwayz alikuwa anaitwa MAMA SHALUA alikuwa anakaa keko kule ..kuna siku sitaisahau pale niligombana na teacher anaitwa wandwe yaani mtiti wake mpaka massawe akataka kunisimamisha shule..niligoma kuchapwa kabisa kwa kosa la kise***.Huyu bwaana alikuwa na udhaifu na mademu nami nilikuwa close kwa class na demu wake kwenye kumshukia nyanga basi akanimind ..palikuwa hapatoshi!.Bashaka ndo akaamulia zogo.Ila jiteute imekomaza wengi na imetoa vichwa vya michezo kibao...
  Nakumbuka 1992 tulikuwa na disco flani la usiku DJ alikuwa bony luv ilikuwa balaa kule bwaloni mana watoto wa formII wengi walipoteza usichana wao..aaha acha tu Jiteute, pale Jani ..gambe na starehe zote zilikuwa zapatikana!!
   
 13. S

  Shilla Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mnakumbuka kile kipindi cha "Follow me to Britain" ukiwa form one lazima ukipitie.
   
 14. S

  Shilla Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hili bwenge lilikuwa linyanyasaji sana siku moja mtoto wa form 1 alichelewa siunajua mambo shift zina badilika kila wiki, sasa yeye akajimix akaja mida ya saa 3 wakati shift yake inatakiwa aingie asubuhi kabla ya saa 1.Basi mhojiano kati ya Bwenge na mwanafunzi yalikuwa kama ifuatavyo.
  Bwenge: Kwanini unakuja saa hizi
  Mwanafunzi: Siku fahamu kama shift huwa zina badilika kila wiki.
  Bwenge: Akauliza kwani saaa hizi saa ngapi huku akimwonyesha mwanafunzi lile lisaa lake lenye cheo cha sir major.
  Mwanafuzi kwa uoga akawa anakodolea macho lile lisaa lake kumbe jamaa alikuwa anamset iliakae kwenye mkao mzuri wa kulipua na kofi la shavu.
  kilichofuata sikingingize zaidi ya kilio tu kwa yule form 1.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hivi hii shule ilishaimprove katika masomo?
   
Loading...