Mwenzako kaeleza malalamiko yake baada ya kumpa ushauri wewe unamwambia jinsi gani unavyompenda vina uhusiana gani?Usijali mimi niko hapa kwajili yako big ciccy🌹💕,, hope you know navyokupendaga Unique Flower
Mwenzako kaeleza malalamiko yake baada ya kumpa ushauri wewe unamwambia jinsi gani unavyompenda vina uhusiana gani?Usijali mimi niko hapa kwajili yako big ciccy🌹💕,, hope you know navyokupendaga Unique Flower
Pole sana mtoto mzuri tupo pamoja! ila ni kweli humu jf kuna watu wanajikuta wao ni special kuliko wengine.Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Shida nini mkuu, pole kwanzaHalafu moderators nikiwa na shida wanafuta uzi chapu maana sina umuhimu ila wawengine aka wapo sure wanahaki yakusikilizwa na kushauriwa . Nikiweka post zakifala wanauweka hewani like forever aisee mnakeraa sisi niwanadamu tunahaki sawa tofauti ya huyu na yule ni upi
Amesema wote wanambagua me nimemwambia niko kwajili yake hata wamkatae wote jamani😃Mwenzako kaeleza malalamiko yake baada ya kumpa ushauri wewe unamwambia jinsi gani unavyompenda vina uhusiana gani?
Ile namba yako mbona haipatikaniWengine ndio wema wakusaidiwa humu katika nyanza mbali mbali ila kwangu ni wakudhihakiwa everyday ipo siku yenu maisha yatapiga tu na mtahitaji msaada na mie nawakashifu vile vile .
🤣🤣🤣Imebidi nicheke😂😂😂😂😂
We cheka yakikuta usiniite 😂😂😂🤣🤣🤣Imebidi nicheke
🤣🤣🤣🤣Amesema wote wanambagua me nimemwambia niko kwajili yake hata wamkatae wote jamani😃
🤣🙂🙂 kwanini anataka apendwe na kila mtu.
Alifanya lini abortion? Aliandika humu?Huyu Dada she is too depressed tangu alivyofanya Abortion na kukosa kuolewa na umri kusogea she has become too anxious and troublemaker back then
Anabidi kupata matibabu ya Afya ya AKILI na KIROHO kwa pamoja.
Kulalamika Sana ni dalili Mbaya ya kutoka kuwa MTU kamili .that's
Hahahahahah unaweza ukawa una tatizo kweli ila hii lugha ikafanya mtu achekeDepression ya sasa yakwako nikutokana kitu kimoja madharau undharau wake za kweli unahangaika na watu ambao si ligi yako
MmmhhManyanza Sikia wewe ni mtu ambaye unajikosha kwa wadada humu tena wenye stara zao halafu ubawahonga na muwaamini utawaoa mwisho wa siku wanakubwaga unaanza kulia . Mie sipo kama wewe mie sijui hata kama upo.
Mf. Nimekata mshipa wa kuona sifai . Mshipa wakuonewa huruma mshipa wa mapenzi ya kweli ,kutawaliwa na kulilia mtu. Nipo kama mimi wewe hujawahi fiwa katikati ya mitihani na ukafukuzwa kama mbwa koko usimalizw ukaaenda kutafuta ada ukaanza upya shule , wewe hjachomewa kwenu halafu hujui unalala wapi unakula nini , hujawahi wewe hujui kulala nje hujawahi kunyimwa chakula . Hujui lolote hujui kufiwa nini .
Hujui lolote wewe unakuja tu kuongea shit hapa . Kisa hatujuani
Umeelewa hujui hata kande nini pamoja namikopo uliokuwa unakopea wanawake hadi sasa gari kumiliki ni mtihani unaendesh za ofisi. Ukitulia hadi neema ya ndoa itakufuata . Wewe nikamtu kanafik sana . Ila umepigwa matukio umebaki unailipia mikopo yote mwenyewe vyeupe vitakumaliza
Tatizo unapenda umbea sanaAlifanya lini abortion? Aliandika humu?
Sio sanaa....Tatizo unapenda umbea sana
Sio sanaa....
Nataka kujua tuu kama umemsingizia sio vzr
HeheheIle namba yako mbona haipatikani