Nimeuliza mbona mkali?Kwahiyo ninaandika habari za uongo?
Nadhani umtafute PM muone mnamsaidiaje ili apone awe katika presence na awe innocence (Unyongofu) anahitaji matibabu ya kiroho na kisaikolojia
Na akipona Maana JF itakuwa ni kumbukumbu nzuri kwake.
Usijali mbona mi nilikuombea usife hadi utakapoolewa na kuwa na familia uilee hadi watukuu na vilembwe!!?Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Labda yeye mwenyewe aje atuambie ana shida gani,, maana nimesoma uzi wote naona analalamika tu hasemi nini kinamsumbua
Kavurugwa dada yenu!Labda yeye mwenyewe aje atuambie ana shida gani,, maana nimesoma uzi wote naona analalamika tu hasemi nini kinamsumbua
Nimesoma hadi mwisho sielewi kwakweliLabda yeye mwenyewe aje atuambie ana shida gani,, maana nimesoma uzi wote naona analalamika tu hasemi nini kinamsumbua
Mbona tumesema mambo yaishie matano we umefikishaje kumi na mbili 🤣🤣🤣Kwanza sijaelewa umeandika nini, cha pili usitutishe humu JF kuna watu wamepinda bwana, tatu shida zako zisifanye sisi tuteseke, nne pambana na hali yako, tano hatukujui sasa tutachukuliaje shida zako siliazi? sita Usione JF kama kituo cha ushauri au ANGAZA, saba ukitaka tukuchulie siriaz tumia ID ya ukweli na usitumia avatar, nane acha ushamba kulalamika mitandaoni ni upuuzi, tisa humu hakuna atakaekuonea huruma, kumi acha kuwalaumu mods kama unawatamani tuma maombi uajiliwe, kumi na moja acha chuki binafsi, kumi na mbili iwe mwanzo na mwisho kuleta nyuzi kama hizi, kumi na mbili pole kwa yaliyokukuta, kumi na tatu tu njoo PM tuongee nikupe muariko tukae mahali tunywe tuagize bia mili tatu na mishkaki ya kupotezea wakati, ukiona kama uelewi jipoze na sprite baridi.
Embu waulize
HelloAsante Sana na Barikiwa pia. Wewe na kizazi chako
Habari madam,Hello
Niambie madam masai dadaHello
Salama niambieHabari madam,
Hello
Madam we si ndo uli nisalimia kabla??Salama niambie
Salama kakaMadam we si ndo uli nisalimia kabla??
Sijui hua anapatwa na nini Unique Flower .. Na PM ndo amejifungia hasa sijui tunamsaidiajeNimesoma hadi mwisho sielewi kwakweli
KwakweliKavurugwa dada yenu!