Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,017
Unique Flower unamuona shoga yako? anataka atugombanishe bure😂😂😂😂 hataree
Naomba koment yako puliiizz
Unique Flower unamuona shoga yako? anataka atugombanishe bure😂😂😂😂 hataree
Naomba koment yako puliiizz
Nimepatwa na moraliMbona tumesema mambo yaishie matano we umefikishaje kumi na mbili 🤣🤣🤣
SweetyCandyMnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.