MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,231
- 43,769
Hebu nisimulie mimi kilichotokea kwasababu sikuwepo kabisa hapa JF nilikuwa nimeenda huko Wampembe hadi maeneo ya Kirando kuvua samaki.Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.