100%Unique Flower pole sana rafiki, anayekujua na kukufahamu vizuri ni wewe. Usitegemee kupendwa na kusaidiwa au kufarijiwa na mtu mwingine. Katika haya maisha Sote tuna Huzuni, majonzi na mahangaiko lakini siku zote huwa tunaji rebuilt wenyewe. Usitegemee furaha yako uipate JamiiForums. Love yourself and others will love you. Ukiwa unalalamika watu watakudharau na kukubeza Kila mara.
Kweli hajasema lakini anahisi watu humu wanambagua na hawampendi. Inatakiwa ajipende kwanza Mwenyewe kabla wengine hawajampenda. Kuwashauri Mabinti wa humu ni kazi ngumu sana. Kuna mmoja nilimshauri sana na kumuweka sawa kiakili. Ikaanza na mizinga ya Pampers za Mwanae. Nilijitahidi sana mpaka ikaonekana kama nampenda. Niliamua kumwambia Kwaheri 😂😂😂😂Hajasema kina nani wanambagua unaweza jaribu ongea nae
Kwa hali ya huyu sidhani hata kama kumuweka sawa itakua na jambo la muda mfupi. Itachukua muda kidogo maana naona hayapendi wala kuyafurahia maisha yake. Huyu mpaka akae sawa inabidi kuwa nae karibu.100%
😂😂😂😂 ushauri na pesa vinaendana ManyanzaKweli hajasema lakini anahisi watu humu wanambagua na hawampendi. Inatakiwa ajipende kwanza Mwenyewe kabla wengine hawajampenda. Kuwashauri Mabinti wa humu ni kazi ngumu sana. Kuna mmoja nilimshauri sana na kumuweka sawa kiakili. Ikaanza na mizinga ya Pampers za Mwanae. Nilijitahidi sana mpaka ikaonekana kama nampenda. Niliamua kumwambia Kwaheri 😂😂😂😂
Hiyo kazi tukupe unaiweza kumuweka sawaKwa hali ya huyu sidhani hata kama kumuweka sawa itakua na jambo la muda mfupi. Itachukua muda kidogo maana naona hayapendi wala kuyafurahia maisha yake. Huyu mpaka akae sawa inabidi kuwa nae karibu.
Ndio vinaendana lakini mtoa ushauri ndio inabidi nilipwe Sasa. 😂😂😂😂😂😂😂 ushauri na pesa vinaendana Manyanza
Ongea nae akupe namba yake. Ili tujue yuko wapi. Ili tuone namna ya kumsaidiaHiyo kazi tukupe unaiweza kumuweka sawa
Eee haloo depression ndio itazidi sasaNdio vinaendana lakini mtoa ushauri ndio inabidi nilipwe Sasa. 😂😂😂
Sawa ngoja nijaribuOngea nae akupe namba yake. Ili tujue yuko wapi. Ili tuone namna ya kumsaidia
Yamekukuta, pole sana 🤣hiyo ndio shida yako??
🤔🤔🤔😂😂😂😂 ushauri na pesa vinaendana Manyanza
Kuuliza imani yake ndio ubaguzi!Acha ubaguzi wa dini
Dini ya nin?
Hamnijui sipendagi unafiki mtu anakuja kutoa mada ya kitu kile kile mnampa ushirikiano mie mnanidhihaki hali nikae kimya no this is not right katika maisha lazima uchukie wewe ni mwanadamu.Furaha yake inatakiwa isitoke kwa mtu mwingine jamani!
Umebaguliwa na nani ?MAANA NYIE NI WA BAGUZI
Depression ya sasa yakwako nikutokana kitu kimoja madharau undharau wake za kweli unahangaika na watu ambao si ligi yakoNimemwambia hapo juu Akili yake na Ubongo wake unamjua Yeye.