Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,054
- 32,474
Ngoja tupangw vikosi vya mashambuliziMie niko tayari na bukta langu labda hao wengine
Ngoja tupangw vikosi vya mashambuliziMie niko tayari na bukta langu labda hao wengine
Lkn mosquitos hao........ni hatariMkuki kwa nguruwe eeh!! Muhimu hamjuani hamna tatizo.
Ila leo ujue humbebi ujue.
Ukikubali kupangwa kubaliana na yote.
Gooood morning mke mwenzaMorning my dear Sakayo
Juzi usiku wakati nalinda jukwaa nilihisi kuna utofauti.
Na kweli nikakuta baadhi ya comments hazipo
Si unajua wakishiba/akishiba futari ndio macho yanafunguka?....asa nahisi alishapiga futari na daku ndio akaona
Samtaim majanga hawa.
espy naona bado kakumbatiwa na MO11.
Shunie na Bonny nahisi waliondoka muda mmoja, sikuwaona ghafla.
Maserati sikumtia machono kutwa jana....sijui alikuwa wapi.
Nalendwa nilimuona usiku wa manane, itakuwa bado kalala tu.
Daby aliondoka na Valentina, maana niliona mzozo wamekamatana jukwaa gani sijui.
Wifi Khantwe....kaniamshie kaka yako, mwambie kumekucha, nataka niende gengeni.
we nipende tu usijaliNani huyo kaniwahi..??
Au vipi inaruhusiwa kupendwa zaidi ya mtu mmoja??
Muwapende na mods jamani.Hawa mods sio watu wema kumbe...
Morning Madam B... Mie niko poaa... Pole na mteguko bhana...
Hao members wakupendana wako busy na maisha!!!!
Asante sana Sakayo...Na kwako pia..Barikiwa
Kibiti tenaaaaTuwasubiri tu kwa kweli.
Au walienda Kibiti?
Wanipe tu hilo ban...ila ukweli ndio huo.
Una hamu na ban eeeh!!
Mmmmh!! Jirani jana nimeona vimwana vinapishana tu. Nikajisemea jirani yangu anafaidi!!!Ha ha ha sikuwa na hata mmoja wao jiran mie nilikuwa kwenye maombi
Tunakupenda jilala.Mimi je mwanipenda kwel??!
Mwenyewe sikusomi,sijui ni haya makinikia au unaagenda yako ya siri mana si kwa kujichimbia hukoCheka uongeze siku za kuishi.
Afu sikusomi popote ujue
Aaaah ile faraja sio ya nchi hii jirani.Ha ha ha ha ule ushabik au tulikuwa tunakupa faraja pale kipind unaanza kuingia sega dance
Kila mtu anamruka mwenzake... Hii vita sio salamaYeye alitangulia kuondoka akaniacha.
Sijui alikuwa anawahi nini
Ngoja Shu aamke
Nilikuwa nawaombea jiran hakuna kingineMmmmh!! Jirani jana nimeona vimwana vinapishana tu. Nikajisemea jirani yangu anafaidi!!!
Asante.Pole sana mamii.