umenionea wapi Nyani Ngabu ?Mwanadamu ameumwa na roho ya kupenda.
Upendo ni amri kuu kuliko zote kama unampenda mtu wa Humu JF mwambie ajue kuwa anapendwa kupendwa raha jamani.
Nakupendeni nyote humu ndani hasa demi
Sana haswa wakati ule upokuwa ukikonyezaheheheheh, bado unanitamani?
Haha hata ambao hawana pesa?nawapenda woteeeee
Halafumnaonipenda nawasubiri hapaaa
Kumbenawapenda woteeeee
Tatizo walet yangu imesombwa na mafuliko ya usaha wa jipunakupenda zaidi mwaaaa
Acha roho mbaya.ww dada.tumeagizwa upendo.Hakuna ninayempenda humu