WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

Yaani unanifanya hadi hapa nilipo hii chai nayokunywa niione chungu just niki imagine the way you feel always....nimesoma na signature yako it speaks volumes

Uuuuuuh..
 
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia

My avatar describes one of my character "A very shy girl"

Kama mchawi Karaba, mwanangu kila siku akiona ki avater chako lazima aseme
 
unaonekana mzee wa Gambe kwa sana.....


Karibu tena mkuu Mpanda katika mkoa mpya wa Katavi...

haaa yani mkuu Katavi acha kabisa

Am seriously looking for a come back...nikiwa fress this time niwaone Wafipa uzuuri
 
Last edited by a moderator:
hiyo yote ndio mitaa yangu ya kujidai.....Mpanda hotel nimeishi sana wakati mtoto kabla sijahamia Sumbawanga mjini kwa ishu za shule.

hahhaa mie nakupata huko....Jangwani na kantalambaa sec LOL....
 
hahaaa watu8 hata mimi jina langu na Avatar sawa kabisaaaaaaaaa......sina matatizo....sema inaniletea matatizo kwa sababu baadhi ya watoto hapa ndani hawajibu PM zangu wakidhani napiga sana gambe....daamn

CC Karucee

Hahah...mpwa i can feel your disappointment
 
Last edited by a moderator:
Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti.
Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Smile, Sweet, Charminglady, PF
Wengine wana usernames na avatars zinazotisha kiasi kwamba huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Hamnazo, Gambas, Mlevi,

Kabla mwaka huu haujaisha, naomba tujuane kijamii forumn.
Kwa nini ulichagua hiyo username na avatar hiyo?

Naanza na mimi mzee wa kazi LINCOLINMTZA
Username ni kwa sababu ya raisi wa Marekani aliyekuwa na busara sana bwana Abraham Lincoln
Abraham Lincoln - Wikipedia, the free encyclopedia

Avatar ni kwa sababu napenda watoto ambao ni taifa la kesho.

Wewe je?

My user name defines me, and my avatar ni kwakua nampenda bwana Yesu!
 
Kuna avatar na majina mengine hata hayaelezeki wahusika wakoje.........mfano huyu nanihii...ohhh...sorry nisije pigwa ban bure.
 
Ila kuna vi avatar vya uchokozi we acha tu
Zinduna uko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ya kwangu imetokana na Nyimbo ya Linex KIMUGINA,,tafsiri yake Ni kitu/mtu ambae Haeleweki sa Mimi nimesha jingundua sieleweki kwenye Mapenzi,, Avatar namkubali sana huyo jamaa kwene Uchoraji
 
haaa yani mkuu Katavi acha kabisa

Am seriously looking for a come back...nikiwa fress this time niwaone Wafipa uzuuri

You are warmly welcome......utakarimiwa hadi utasahau kwenu ila ukileta ujeuri tu.....!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom