LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
amu ni jina langu kamili.Avatar sababu nampenda omosexy tunafanana kidogo nina watoto 3 yet young&sexy
Ha ha ha lol wewe mchokoziii!!!!Eee! Kumbe wewe ni rangi rangi + manywele!
Ngoja nianze kukudoea!
you made me look at that Kid again....na kupata some qns
Ukishindwa kuelewa ID na avatar yangu basi aisee arifu hakuna mtihani utaweza faulu...
Wallah mi nshafeli
Nimezaliwa jirani na mbuga hii ya wanyama, na juzijuzi jina la mbuga hii limepewa mkoa huu wa jirani. babu alikuwa muwindaji wa mbuga hii.
avatar ndio mimi mwenyewe.
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia
My avatar describes one of my character "A very shy girl"
amu ni jina langu kamili.Avatar sababu nampenda omosexy tunafanana kidogo nina watoto 3 yet young&sexy
Hahah...hebu itazame kwa makini hiyo avatar chalii angu
Natafakari....
My user name imetokana na movie moja hivi....but I think it do describe alot of things pia
My avatar describes one of my character "A very shy girl"
Divisheni 5 inanihusu
Nimezaliwa jirani na mbuga hii ya wanyama, na juzijuzi jina la mbuga hii limepewa mkoa huu wa jirani. babu alikuwa muwindaji wa mbuga hii.
avatar ndio mimi mwenyewe.
Oh I guess the qns won't be thrown on my face.
wewe utakuwa aliens mkuu hasa ukizaingatia busara zako na ukaribu wa hiyo mbunga ya wanyama.