marejesho hantishiii. lol!! akifanya masihara najimilikisha kwa filipo soon.
Daaah mbarikiwe sana wenyeji na wageni wa tanga!
Hahahaha! Wifi umeingizwa chaka lol. Pole weyekhaaa yamekuwa hayo nimejiandaa kichwa hadi kucha
khaaa yamekuwa hayo nimejiandaa kichwa hadi kucha
Hahahaha, koma kumsema mai hazibendi.
Mkuu chopa letu limekosa uwanja wa kutua, limepitiliza Korogwe. Sasa hapa ndo tunachukua gari ya prof tall water twende Tanga.
khaaa yamekuwa hayo nimejiandaa kichwa hadi kucha
Ule mtiti huyo hauwezi
picha pulllliiizzzz
marejesho hantishiii. lol!! akifanya masihara najimilikisha kwa filipo soon.