hayo ya kijinsia subiri watu8 atayaweka hapa bibie....
Ha ha ha jinsia a.k.a vibamia na vitumbua lool
hahahahaa nguvu balaa! Wewe uliomba nini?
Ila Shosti ule ulikuwa ni Mtumbua na Mbamia, maana Duuuu.......!!!!!!!!
Hakunagaaaaaaaaaa.............!!!!!!!!!! Kitu ka naniliii ya Punda.
hahaha nikipata wasaa nitatupiamo....ila naogopa kulambwa BAN hahaha
chonde chonde na watoto!
hahahaaaa hii Madam B i nilibahatika kuona serengeti khaa amefungusha
Mi nilikuwa napita tu, si uliona nilipita harakaharaka? mi sihitaji hizo nguvu bana, nilizo nazo tu zimejaa had znamwagika.Ha ha ha haaaaaaa, PakaJimmy hizi nguvu zinahusu sana ujue. Si unajua ukizikosa madhara yake, sasa km zilikuwa zinatolewa bure kwa nini usiji bebee?
Alafu ulituonaje km wewe hukuwepo?