WanaJF ndani ya Tanga

amani babu naskitika hukuniita tuimbe mapambambio ya kusifu baada ya wenzetu kufika salama tanga. sasa asbh hii tuanze na sala za kumfukuza shetani. tunamkataa shetani na mambo yake yote na kazi zake zote kwa siku ya leo yote. Roho mtakatifi awalinde a kuwaepusha na UVUNJIFU amri ya 10 kwa siku zote watakazo kaa tanga, AMEN............................
 


Mambo mengi teacher, nisamehe bure!

ahsante sana kwa neno!
 
Mwone macho yake!!

Hiyo ndo adabu uliyofundishwa kwenye retreat yako ya magumashi?

babu umekuwa mnoko sana kama mzee kifimbo cheza. nasubiri wajukuu zako wote waondoke ndio nije tanga kukusalimia. lol
 
babu umekuwa mnoko sana kama mzee kifimbo cheza. nasubiri wajukuu zako wote waondoke ndio nije tanga kukusalimia. lol

Labda 2015!


Babu anao wajukuu wengi na zamu yako umeipeperusha mwenyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…