WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

Hiyo kitu inatulia utam zaidi ukiwa umepumzika nayo room tartiibu na mkeo pembeni na kuna kinywaji na huku mkijisomea hadithi za mudi kwenye msahafu
 
Nimepga roast mida flani nashusha gordons hapa inaelea tu kwenye mafuta....achaaa hii kitu ni tamuuuu....zaid ya ..........roo!!!!
 
Ooooh men! Hadi udenda unataka kudondoka,hii kitu ni tamu jamani. Kesho lazima niitafune. Rais wa Argentina anasema ndio chakula yake wakati akiwa faragha na mume wake,anasema inaongeza ashki ya yale mambo na anawashauri wananchi wake wale.

Anadai haiwezi kupita siku 2 bila kuila. Acha kabisa.

hii kitu acha kabisa ni tamu balaa mwaka huu kipindi cha mfungo pale Sanaa shekilango kidogo raia walipungua kiasi ila ukweli unabaki pale pale hii kitu inaliwa na wote...
 
hii kitu acha kabisa ni tamu balaa mwaka huu kipindi cha mfungo pale Sanaa shekilango kidogo raia walipungua kiasi ila ukweli unabaki pale pale hii kitu inaliwa na wote...

Hasa pale kwa Mtoro na Mtambani pia Mwembechai kitimoto inaliwa sana.
 
Aisee hapo ndipo utajuta kuifahamu hii kitu... Ni yamii hataree..
 
Umeona eeh!

Mkuu......naona umeongea sana bila kutoa direction........sema Tegeta sehemu gani na panaitwaje watu tutie timu........mazungumzo yataendelea wakati shughuli inafanyika.........
 
Mkuu......naona umeongea sana bila kutoa direction........sema Tegeta sehemu gani na panaitwaje watu tutie timu........mazungumzo yataendelea wakati shughuli inafanyika.........

Tegeta kibaoni mkono wa kushoto ukitokea mwenge.
 
Sasaaa.........ngoja tuje.......maneno mingi haisaidii........tunaongea baada ya mlo........

Ha ha ha hizi hasira zinaonesha mtu flani anakiu na mijino inawasha! Piga picha unatafuna ngozi iliyo iva vizuri!..........dah Ushukuriwe Mungu kwa vitu vitam kama hivi!
 
Back
Top Bottom