WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

Binaadam wanapenda kula aaakh minyama mengine sio cheki lilivo hilo dudu
 
Binaadam wanapenda kula aaakh minyama mengine sio cheki lilivo hilo dudu
Mbona lile dudu lingine unalichezea na kulinyonya kisha linaanza kutoa utomvu halafu unalipeleka kwenye nanihii yako likusugue husemi!
 
Kavu + ndizi + kachumbari halafu shushia serengeti bariiiidi we ni balaaaa.
 
Kama kushabikia kitimoto ni pumba basi ni kweli kila mzungu ni padre!

Kitu kama hujaelewa unarudia kusoma....au unauliza. Nani kasema kushabikia kula kitimoto ni pumba??umesoma comment zilikotoka au umeamua tu kudandia treni kwa mbele?
 
Waislamu Na Wasabato Wanakosa Utamu Sana.

Waislamu wa nchi gani? Kama ni wa hapa bongo wengi tunapiga nao kitimoto kama kawa! Na ndo wateja wakubwa wa hii kitu.
 
Back
Top Bottom