WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

WanaJF nashukuru kuniunga mkono Kitimoto imeisha sikukuu

Natoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliojitokeza kuniunga mkono kushiriki nami pamoja na kununua nguruwe na kitimoto jumla na rejareja baada ya kuleta tangazo hapa jf wiki iliyopita.
Mzigo wote uliisha.
Tuonane mwaka mpya.
View attachment 214085

Inashangaza kuona watu wanakula dubwana kama hili....mbona hata kwa macho tu linatisha wajameni?
 
Inashangaza kuona watu wanakula dubwana kama hili....mbona hata kwa macho tu linatisha wajameni?

Vinavyotisha na vyenye kinyaa unatumia na kuvinyonya kabisa visivyotisha hutumii. Ni shidaaaa!
 
Kitoweo pendwa dunia nzima. Hata watoto wa mamdogo wafuasi wa mudi wanaijua, wanatafuna.

hata wawe wafuasi wa paulo bt still jidude km hilo na madhara yake bdo mnakula au ndo wale wanaosema haramu tamu
 
anaekula tumbiri na hilo nguruwe hawana tofauti cjui km tutapona ebola tz
 
Vinavyotisha na vyenye kinyaa unatumia na kuvinyonya kabisa visivyotisha hutumii. Ni shidaaaa!

Ingeleta mantiki zaidi kama ningekuwa nimewahi kukuambia kwamba huwa natumia hivyo vitu. Kwa vile umeamua kubwabwaja kwa utashi wako na kuzingatia vile unavyoishi wewe nakusamehe bure
 
Ingeleta mantiki zaidi kama ningekuwa nimewahi kukuambia kwamba huwa natumia hivyo vitu. Kwa vile umeamua kubwabwaja kwa utashi wako na kuzingatia vile unavyoishi wewe nakusamehe bure

Saivi unakana hapa eeh! Kwani unajua ni vitu gani hivyo?
 
Asante Baba kwa kutuletea kitoweo kitam ubarikiwe sana Sir God!
 
Ooooh men! Hadi udenda unataka kudondoka,hii kitu ni tamu jamani. Kesho lazima niitafune. Rais wa Argentina anasema ndio chakula yake wakati akiwa faragha na mume wake,anasema inaongeza ashki ya yale mambo na anawashauri wananchi wake wale.

Anadai haiwezi kupita siku 2 bila kuila. Acha kabisa.
 
Back
Top Bottom